Recent content by Albert E

  1. Albert E

    Utumishi watangaza nafasi mbalimbali za kazi

    Vipi kuhusu zile 12000 za Tamisemi!!!
  2. Albert E

    Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

    Safi, nimepanda familia yenu inavyoishi hasa wewe na Mshua. Nimejifunza asante mkuu Analyse
  3. Albert E

    Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    OMUGHAKA kama hutojali tupia picha ya Rehema, unaweza funika sura. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Albert E

    Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Hivi hapo kosa la Omughaka au Rehema! Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Albert E

    Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Mkuu susha EP ya 20 tunakuomba[emoji24]
  6. Albert E

    Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Nashauri Uzi huu ufutwe Kama hautakuwa na muendelezo ndani ya mwezi huu.
  7. Albert E

    Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

    Habari? Samahani hivi ni vyakula gani husaidia kuimarisha ubongo wa mtoto kuanzia miez 6?? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Albert E

    Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Mara paaap! Maya anapewa mimba na OMUGHAKA [emoji16] Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Albert E

    Sijavutiwa na Toyota Harrier a.k.a Tako la Nyani

    Bora hata hizi Old model kuliko hayo makalio ya nyani
  10. Albert E

    Ulianzaje kukaa gheto?

    Mkuu na vipi kuhusu vitanda vya chuma?
  11. Albert E

    Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

    Omughaka na Mtatiro walitakiwa kuwepo pale kama sehemu yao ya mafunzo.
  12. Albert E

    Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

    Omughaka kwani hukupitia mafunzo ya Jkt!
  13. Albert E

    Bajeti ya gari za mkononi

    Suzuki Escudo 1st generation 4wd yake ni hatari. Old is gold Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
  14. Albert E

    Kama wewe ni mwalimu haya maswali yanakuhusu

    W Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom