Nape.unapaswa pia kutuambia waliobaki CCM ni akina nani,hii inaonyesha wazi ya kuwa MFA MAJI HAACHI KUTAPATAPA,kwa hal hii mpaka mwaka 2015 nina uhakika asilimia sabini ya wapiga kura wa nchi hii watakuwa wameshatukanwa sana na wewe nape,na hapo starajii aliyetukanwa kumpa kura aliyemtukana,kwa...