ALAWY
Member
- Jun 8, 2012
- 15
- 3
Sasa ni dhahiri endapo rasimu ya katiba mpya itapitishwa katika kura za maoni basi ni wazi kuwa JK na Shein wataendelea kukalia viti vyao si chini ya miaka miwili zaidi ili kuwezesha Watanganyika kuandaa katiba yao na Wazanzibari kurekebisha katiba yao ili iendane na katiba mpya!
Hivyo nawashauri Watanzania wenzangu tujiandae kisaikolojia kukabiliana na hali hiyo!
Mungu ibariki Tanzania!
Mungu ibariki Tanganyika!
Mungu ibariki Zanzibar!
shubiri na quinin ni chungu sana lakini huwa zinamezwa kwa malengo ya uponyaji....hii hata mie nakubali...aendelee tu