Natafuta mashine ya vipimo vya afya(Magnetic Quantum Analyzer) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta mashine ya vipimo vya afya(Magnetic Quantum Analyzer)

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Concrete, Oct 2, 2012.

 1. C

  Concrete JF-Expert Member

  #1
  Oct 2, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Yoyote mwenye kufahamu wapi ninaweza kupata mashine mpya ya kupima vipimo mbalimbali vya afya(Magnetic Quntum Analyzer), na bei yake anitaarifa, hasahasa kama zinapatikana Arusha, Moshi na Dar.
   
 2. cerengeti

  cerengeti JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 3,633
  Likes Received: 1,165
  Trophy Points: 280
  zipo hapa dar, bei nzuri, napatikana 0655 308308, email: cerengeti@gmail.com
   
 3. ALAWY

  ALAWY Member

  #3
  Nov 21, 2012
  Joined: Jun 8, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nitafute ndugu kwani hapa ushaipata, dralawy@rocketmail.com
   
 4. moto2012

  moto2012 JF-Expert Member

  #4
  Nov 23, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 2,168
  Likes Received: 315
  Trophy Points: 180
  Kaka Hippocratessocrates naomba msaada wa hii mashine anayoitafuta huyu jamaa kama inatambulika kwenu ninyi madaktari. Inanipa shida jinsi inavyoweza kupima karibu kila kitu including minerals, electrolytes, hormone levels, bone density, n,k na inatoa ushauri yenyewe nini kifanyike. Interestingly hutolewi hata tone la damu
   
Loading...