ndamo emmanuel
Member
- Sep 12, 2012
- 31
- 8
hoja hapa sio wao wazanzibari na sisi watanganyika! Watanganyika tusijidanganye kuwa tutabaki salama baada ya kushabikia zanzibar wajitenge, tambueni wanasiasa ndo wanaowashinikiza wananchi kujitenga.
Tujivunie utanzania wetu na si utanganyika au uzanzibari kwa sababu sisi ni ndugu wamoja, ndugu anapoteleza mweke chini mshauriane mtapata suluhu. Tuongee kindugu katika fursa hii ya katiba.