Recent content by AlamaZA NYAKATI

  1. A

    JamiiForums Tanzania Baba Mzazi wa Mhe. Tundu Antipas Lissu Mughwai afariki dunia jioni ya leo

    apumzike kwa amani mzee wetu. Amen
  2. A

    JamiiForums Tanzania Baba Mzazi wa Mhe. Tundu Antipas Lissu Mughwai afariki dunia jioni ya leo

    pole sana kamanda mpiganaji Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana na lihimidiwe Amen.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Dr. Ulimboka yupo mafichoni, kuzungumza wakati wowote!

    Dr kata mzizi wa fitina ili tuwajuwe magamba yanayotusumbua
  4. A

    JamiiForums Tanzania Gari la matangazo la CHADEMA lakamatwa Morogoro

    Serikali DHAIFU ndivo ilivyo.............kitaeleweka tu
  5. A

    JamiiForums Tanzania Dk Slaa hajakomaa kisiasa

    Mods kwa nini msimwondoe kwanza jamvini kwa sababu kaanza vibaya ili akajifunze namna ya kuingia humu jamvini
  6. A

    JamiiForums Tanzania Tangazo - m4c iramba mangaribi - august 2012

    mbona hujamjuisha mrithi wa jimbo hilo 2015 jembe la la ukweli DR Kitila Mkumbo?
  7. A

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa daladala moshi kuna mkono wa nani?

    mkono wa magamba
  8. A

    JamiiForums Tanzania Madaktari bingwa Muhimbili waanza mgomo

    "Liwalo na liwe" na "Dhaifu" itabidi wavae kanzu nyeupe ili wakatibu watz......vinginevo wajiuzulu mara moja
  9. A

    JamiiForums Tanzania Mtwara: M4C yazidi kuibomoa CUF..

    Mpaka kieleweke pipozi..........................M4C
  10. A

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa CCM Jangwani: CCM yafa Rasmi

    Nimesikiliza mwanzo mpaka mwisho HAKUNA lolote la maana lililozungumzwa. Magamba kwisney...........PIPOZ.......................................................POWER
  11. A

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa hotuba ya "upotoshaji" ya Zitto kwa watanzania waishio Marekani

    sku ya kufa nyani naona tayari, hawana pa kushika kwani kila mahali panateleza
  12. A

    JamiiForums Tanzania Niandike maneno gani kwenye bango langu kuelekea Jangwani kesho?

    Andika: gamba Nape karibu cdm tukuvalishe gwanda
  13. A

    JamiiForums Tanzania M4C vs Mechi ya taifa stars leo. Nani zaidi?

    mstakabali wa nchi kwanza ndo hata mpira utachezwa kwa kiwango
  14. A

    JamiiForums Tanzania Mnyika ashinda kesi dhidi yake; Hawa Nghumbi atakiwa kulipa gharama za kesi!

    Tbc nao ni lazima waanze kuvua gamba tayari kuvaa gwanda. Na hizo gharama za kesi alipe Makamba yusuf kwani yeye ndo aliyewadanganya wenzake kukata rufaa kila jimbo iliposhinda cdm
  15. A

    JamiiForums Tanzania Nchemba: CCM haiwategemei walimu

    huyu fataki mwache tu aringe na kodi za watz kwa kuita vijipety cash kama mwenzake chenge siku si nyingi vitawatokea puani.....siku zao zinahesabika mbona...........M4C is near.
Back
Top Bottom