M4C vs Mechi ya taifa stars leo. Nani zaidi?

M4C vs Mechi ya taifa stars leo. Nani zaidi?

Jumakidogo

R I P
Joined
Jul 16, 2009
Posts
1,851
Reaction score
427
Nadhani leo ni siku ya wale watu ambao ni wapenzi wa soka na mambo ya siasa kupata kigugumizi cha maamuzi wapi waelekee? Viwanja vya jangwani, au uwanja wa taifa kwenye mechi ya taifa stars. Nimekata tiketi ya mpira nikitegemea Kova atapiga stop M4C lakini ngoma ipo, sasa natangaza kwa yeyote anayetaka tiketi hii, tena bure. Ani PM tuwasiliane ili nimpe manake mi naelekea M4C Jangwani.
 
Hii huwa tunaiita BAD CARD, TFF kwa kushirikiana na CCM walifikiri Match ya Stars v Malawi ingepunguza hamasa ya watu kwenda kwenye M4C. Sasa wamecheza garasha wakati M4C in Bwana, imekula kwao TFF na CCM.

Next time someni alama za nyakati.
 
jangwani hapatosh kwa wing wa watu ccm waendelee kuongea ugoro
 
Hiyo timu yenyewe mbovu nani mjinga aende huko kitu yote leo jangwani.
 
Wendawazimu wataenda kuangalia mechi ya kichwa cha timu ya mwendawazimu!
 
Oi goli kipa mwenyewe alipigwa 12,. Wabak wenyewe na viti vyao elfu60 vitawangalia,. Cie vidole vyetu viwili juu,. Piiiipooooo,..
 
Mpira bongo? Watu wanataka kujua hatma ya maisha yao ambayo yamechezewa na magamba for almost 35yrs.
 
Wewe mkali,soka la bongo huwa 2najua matoke kulngana na wanaocheza nao.
 
bora mechi kutazama marudio lakini sio CDM raha ya ngoma kuicheza mweh.
 
Back
Top Bottom