Tangazo - m4c iramba mangaribi - august 2012 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tangazo - m4c iramba mangaribi - august 2012

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Cable, Jul 6, 2012.

 1. Cable

  Cable Member

  #1
  Jul 6, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chama cha CHADEMA kitafanya Ziara ya Mwezi Mzima katika Jimbo la Iramba Mangaribi ambalo ni Jimbo la Mh. Mwigulu Nchemba kwa ajili ya kuimarisha chama, Mada zitakazozungumziwa katika Ziara hiyo ni;

  1. Utendaji wa BOT kati ya Mwaka 2006 - 2010
  2. Wizi wa Fedha za EPA
  3. Uhusika wa BOT na Taratibu za ufunguaji Akaunti nje ya nchi
  4. Uhusika wa Wafanyakazi wa BoT na wizi wa pesa za EPA
  5. Uhusika, usaidizi, ushauri wa kitaalamu wa wafanyakazi wa BOT uliosaidia kuibwa kwa Fedha za EPA
  6. Ushauri Mbovu wa masuala ya Uchumi katika kipindi cha 2006 - 2010 ndani ya BoT
  7. Ugumu wa maisha ya wananchi wa Iramba Mangaraibi, suluhisho la Matatizo yao.
  8. Matatizo ya Elimu katika Jimbo la Iramba Magharibi,
  9. Utendaji wa Kazi wa Mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibi,
  10. Serekali kushindwa kushughulikia Mauaji ya Raia baada ya uchaguzi wa Igunga na Arumeru Mashariki.
  11. Hali ya Uchumi ya Nchi.

  Wazungumzaji Wakuu:

  1. Freeman Mbowe
  2. Mchungaji Msigwa - Kiongozi wa Ziara
  3. Mh. John Mnyika - Katibu wa Ziara
  4. Dr. Wilbrod Silaa
  5. Godbless Lema
  6. Halima Mdee
  7. Joshua Nassari
  8. Mh. Wenje

  Wazungumzaji Huru.

  1. Ma Profesa wawili wa Uchumi - Chuo Kikuu Dar - Es - Salaam
  watatoa elimu kwa umma kuhusu Uchumi na utekelezaji wa Mipango ya Taifa - Majina yanahifadhiwa kwa sasa.

  2. Wanaharakati Mashuhuri Wawili - Majina yanahifadhiwa kwa sasa
  3. Uongozi wa TAMWA - Taifa
  4. Aliyekuwa Mgombea wa Ubunge Igunga
  5. Mume wa Mwanamke aliyefumaniwa na kiongozi wa Juu wa CCM Igunga
  6. Baba mzazi wa Kijana aliyekutwa amekufa Igunga mara baada ya Kampeni
  6. Wazazi na Mke wa Kiongozi wa Chadema aliyeuwawa Arumeru mara baada ya Uchaguzi
  7. Wazazi wa Vijana Wanne waliouwawa kwa kuvunjwa Shingo na kutupwa Jimbo la Arumeru Mashariki
  8. Viongozi wa Dini kuu mbili za Kiislam na Kikristo
  9. RPC Mstaafu
  10. Ungozi wa Kitaifa LHRC (Haki za Binadamu) Tanzania
  11. UONGOZI WA KITAIFA - TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA (THBUB)
  12. Kiongozi wa wazee wa Iramba.

  KAZI HII ITAKUWA NI YA MWEZI MMOJA.

  Hizi ni Namba za Mwigulu Nchema kama unataka kumpa Taarifa.
  [TABLE]
  [TR]
  [TD]Office Location: [/TD]
  [TD]Box 52 Kiomboi, Iramba[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Office Phone:
  [/TD]
  [TD]+255 878 513446/+255 757 946223[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 2. F

  Froida JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Nadhani unataka kutuchemsha kwa nini majeshi yote hayo duuh siamini
   
 3. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #3
  Jul 6, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  Ngoja nimtwangie Mwigulu nimpe taarifa...Hiyo timu yaweza kumhamisha Jimbo huyu Mzinzi na Mropokaji...
   
 4. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #4
  Jul 6, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  Heri mimi sijasema!
   
 5. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #5
  Jul 6, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Yule mzinzi lazima azirai
   
 6. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #6
  Jul 6, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,420
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 180
  Mleta mada hizi taarifa akizipata chemba hakika lazma azimie,namshauri aongee na nape kwa ajili ya kufuta nyanyo atakapozinduka.
   
 7. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #7
  Jul 6, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,946
  Likes Received: 1,272
  Trophy Points: 280
  duh! Hii habari inapaswa kuthibitishwa na Tumaini Makene, Dr. Slaa, Zitto au viongozi wa juu walioko kwenye jukwaa hili. Halafu bavicha sijawaona hapa! Kulikoni?
   
 8. Cable

  Cable Member

  #8
  Jul 6, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Zitto Kabwe amethibitisha kushiriki na amepewa kazi maalumu ya utafiti chini ya wasaidizi wa wasomi sita wenye alama za juu za mambo ya uchumi na utawala wa fedha kutoka Chuo Kikuu cha Tanzania na kushauri timu itakayokuwepo Iramba, kazi hii pia itamruhusu kuhutubia katika vikao vya Iramba.

  Kazi yake nyingine ni kuwashughulikia na kuwapangia kazi wanasiasa wageni wote watakaoanza kuja Nchini kutoka Kenya na Uganda watakaohutubia mikutano mbalimbali ya Chadema Nchi nzima wakielimisha kuhusu namna bora za hoja za kikatiba za kudhibiti na kuwaadhabisha mafisadi, haki katika ardhi na haki za Binadamu katika katiba Mpya. Katika wageni hao wapo maprofesa wanne waliosomea Sheria za Katiba na kupata alama za juu kutoka Kenya, Uganda, Nigeria na Ivory Coast.

  Jina langu ni Cable, maana yake waya, Waya wa Simu:

  Subiri Utafurahi.
   
 9. A

  AlamaZA NYAKATI JF-Expert Member

  #9
  Jul 6, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 274
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mbona hujamjuisha mrithi wa jimbo hilo 2015 jembe la la ukweli DR Kitila Mkumbo?
   
 10. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #10
  Jul 6, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,174
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  spidi 120
   
 11. K

  Kiboko Yenu JF-Expert Member

  #11
  Jul 6, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 312
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hapo ni posho tu zile hela alizotoa shibuda jana ndio wameshazipgia hesabu wakazigawane
   
 12. K

  Kakubilo Kasota Senior Member

  #12
  Jul 6, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hili jeshi nimelipenda na kulikubali sana!
   
 13. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #13
  Jul 6, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135

  Hii imekaa vizuri, tena mkamwambie na ile dhambi aache, ile ya igunga.
   
 14. seniorgeek

  seniorgeek JF-Expert Member

  #14
  Jul 6, 2012
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 500
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Battalion.
   
 15. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #15
  Jul 6, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,946
  Likes Received: 1,272
  Trophy Points: 280
  Chemba lazima lioze na kunuka!
   
 16. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #16
  Jul 6, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Eeee mungu nakuomba iwe kweli. Amen.
   
 17. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #17
  Jul 6, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  kama kikosi hiki kitatua kwa Mwigulu lazima atahama jimbo hii ni hukumu kwa Mwigulu na wakitoka hapo wasisahau kwa Lusinde
   
 18. Medical Dictionary

  Medical Dictionary JF-Expert Member

  #18
  Jul 6, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 1,053
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  mleta mada umesahau kuattach hii
  ONYO:watakao hutubia wawe makini na wake zao..
   
 19. h

  hans79 JF-Expert Member

  #19
  Jul 6, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  Asiyefanyakazi asile.
   
 20. miss strong

  miss strong JF-Expert Member

  #20
  Jul 6, 2012
  Joined: Jul 4, 2012
  Messages: 7,027
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  Nimeipenda sana hiyo yan,Yy si alisema Nassari kadogo hakaenei ht kiganjani Mrisho Ngasa ana afadhali!Dharau nyng tutamshika pabaya.
   
Loading...