Recent content by alaksh natena

  1. alaksh natena

    JamiiForums Tanzania TANZIA Hassy Kitine, Mkurugenzi wa zamani wa Idara ya Usalama afariki dunia

    Alale panapo stahili
  2. alaksh natena

    JamiiForums Tanzania Lack of Proper Diagnosis Tools – Sababu Kubwa ya Magari Mapya Kuungua au Kuharibika Mapema

    Rav me miss tz ikipata moto inakuwa na miss mtambo imetumika nozzle,coil zimebadilishwa lakini shida bado engen ni 1AZ naombeni ushauri kale ka miss kananiidhi. Note: Ignition coil ni za Fulani 3na moka ni used Ila zinachoma gari ikiwa imepaki husikii miss Ila ilitembea utasikia ukiwa unabadili...
  3. alaksh natena

    JamiiForums Tanzania Viporo ni noma

    Alafu uwe likizo au week end maana baada ya hapo ni kuuchapa tu
  4. alaksh natena

    JamiiForums Tanzania Tamba na Jicho 👁 la Ustawi wa Jamii Mtaa kwa Mtaa 🇹🇿

    Uzoefu ni jambo Moja na kumkamata mtuhumiwa ni jambo kingine, je mmemkamata Folio D?
  5. alaksh natena

    JamiiForums Tanzania Water pump za solar

    Big up
  6. alaksh natena

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini wanawake warembo wengi ukimuuliza nikufungulie biashara gani lazima katika biashara hizi 4 ukosi kuambiwa moja wapo

    Wanawake warembo akili zao fupi Sana ndo maana wanaoebda bizinesi tajwa
  7. alaksh natena

    JamiiForums Tanzania Usalama wa Taifa Tanzania: Freeman Mbowe Asimama Wazi Mbele ya Rais Bila Ulinzi, Tulidanganywa?

    Tena alisogeza kiti mbowe mwenyewe baadae ndo akaja ADC na body guard means Mbowe Hana madhara kwa system
  8. alaksh natena

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Polepole kufukuzwa CCM; nafasi yake kuchukuliwa na Mbowe

    Ila ubalozi is inversely proportional to ubalozi siyo?
  9. alaksh natena

    JamiiForums Tanzania Sioni press ya Humphrey Polepole leo ikifanyika

    Polepole anafika hiyo nyumba ni nzuri Kama safe house nadhani itamfaa akirudi DM nimnunulie
  10. alaksh natena

    JamiiForums Tanzania Sioni press ya Humphrey Polepole leo ikifanyika

    Saa 5 asb majira ya Africa mashariki
  11. alaksh natena

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Dkt. Kisenge tafadhali tulia ofisini, JKCI inaharibika

    Nimeshtuka kisenge na hapa nipo kwa foleni kumuona Dr wa moyo nadhani BP itakuwa juu kingese
  12. alaksh natena

    JamiiForums Tanzania Radio na TV sasa zitarudi katika ubora wake ikiwa wamewazuia watu ambao hawajaenda shule kutangaza

    Kumbe ndo maana wengi wao wamekimbilia ubunge napo kwenye kura za maoni wamebwagwa wa kishindo
  13. alaksh natena

    JamiiForums Tanzania GE2025 Katibu Mkuu CCM Dkt. Nchimbi aongoza Kikao cha Sekretarieti ya maandalizi ya mchujo wa Wagombea

    Kikao Cha kupeana mashavu watoto na ndugu wa viongozi
Back
Top Bottom