Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,534
- 81,267
Hii nchi ni Shenzistan
Ni kosa kuwepo Tanzania? au ulitaka awepo wapi? maswali gani haya ya kipuuzi?Hivi ni kweli huyo jamaa yupo Tanzania?
Kuna kila dalili hiyo press haitafanyika vinginevyo afanye kwa mbinu za Gwajima za kujifanya anaongea na waandishi kumbe ni yeye mwenyewe..
Hata Nape alivyotaka kuongea baada ya kufanyiwa uhuni kipindi kile ALINYOOSHEWA BASTOLA!
Hivi ni ukumbi gani utakubali KUHOST inshu ya pole pole leo?
Labda afanyie home kwake...
Trust me hiyo press labda ifanyike angani
Kwa mawazo yako, keybord worrior?Mda si mrefu hii nchi itakuwa kama Korea kaskazini
Na hata hili linawezekana piaKwanza utambue bwana pole pole hayuko Tanzania
Labda useme internet yote leo izimwe
Wapuuzi sana hawa CCM.Yaani watz sasa hv tuko under siege, unataka hutaki ni mwendo wa mi5 tena hahahhhaa
Yaani ccm kwasasa ni kama mwanaume anayebaka mwanamke kikubwa ni akojoe hakuna mambo ya I love you!
So?Mkuu huu utawala sio kbs, kuna mtu alikuwa jasiri kama Mdude??
Yuko wapi leo?!
Labda arekodi clip atume kwa waandishi wa habari
Labda arekodi clip atume kwa waandishi wa habari
inamankuswekeNi kosa kuwepo Tanzania? au ulitaka awepo wapi? maswali gani haya ya kipuuzi?
Hafanyi press conf anafanya press release Machawa mhangaike nayo.Kuna kila dalili hiyo press haitafanyika vinginevyo afanye kwa mbinu za Gwajima za kujifanya anaongea na waandishi kumbe ni yeye mwenyewe..
Hata Nape alivyotaka kuongea baada ya kufanyiwa uhuni kipindi kile ALINYOOSHEWA BASTOLA!
Hivi ni ukumbi gani utakubali KUHOST inshu ya pole pole leo?
Labda afanyie home kwake...
Trust me hiyo press labda ifanyike angani
Kwani alisharudi TZ?Kuna kila dalili hiyo press haitafanyika vinginevyo afanye kwa mbinu za Gwajima za kujifanya anaongea na waandishi kumbe ni yeye mwenyewe..
Hata Nape alivyotaka kuongea baada ya kufanyiwa uhuni kipindi kile ALINYOOSHEWA BASTOLA!
Hivi ni ukumbi gani utakubali KUHOST inshu ya pole pole leo?
Labda afanyie home kwake...
Trust me hiyo press labda ifanyike angani
#########
Nahisi hata kama ni online mtandao unaweza kuzimika pia..
😅😅😅
Tunazima internetWatu mmekuwa wajinga Sana kufanya press na waandishi wa habari live na ukaulizwa maswali na kujibu inawezekana sio lazima iwe physically.
Dunia ya Leo hayo yamepitwa na wakati unaweza popote ukafanya press na waandishi wa habari live na maswali unaulizwa na unajibu .
Unaandika ujingaTunazima internet
NingeshangaaYupo Tanzania ninaamini
What
Saa 5 asb majira ya Africa masharikiKuna kila dalili hiyo press haitafanyika vinginevyo afanye kwa mbinu za Gwajima za kujifanya anaongea na waandishi kumbe ni yeye mwenyewe..
Hata Nape alivyotaka kuongea baada ya kufanyiwa uhuni kipindi kile ALINYOOSHEWA BASTOLA!
Hivi ni ukumbi gani utakubali KUHOST inshu ya pole pole leo?
Labda afanyie home kwake...
Trust me hiyo press labda ifanyike angani
#########
Nahisi hata kama ni online mtandao unaweza kuzimika pia..
😅😅😅
NAUZA NYUMBA INA APARTMENT MBILI DARKuna kila dalili hiyo press haitafanyika vinginevyo afanye kwa mbinu za Gwajima za kujifanya anaongea na waandishi kumbe ni yeye mwenyewe..