Polepole anafika hiyo nyumba ni nzuri Kama safe house nadhani itamfaa akirudi DM nimnunulieNAUZA NYUMBA INA APARTMENT MBILI DAR
Ninauza nyumba yangu hapa vikindu nyuma ya mtaa wa polisi mwenye uhitaji unipigie 0625784681. Au wasap 0673294681. Ni nyumba ina apartments 2 na vyoo ndani.
Bei tsh. 23,000,000.00
Nitapunguza kidogo.
Nicheki wasap kama unahitaji picha na detailed information. Kataa mawinga
Na hivi ndivyo wanachotaka watu waogope kuhoji au kusema jambo.Mkuu huu utawala sio kbs, kuna mtu alikuwa jasiri kama Mdude??
Yuko wapi leo?!
Hapa hapa Dar???Yupo Tanzania ninaamini
Kuna kila dalili hiyo press haitafanyika vinginevyo afanye kwa mbinu za Gwajima za kujifanya anaongea na waandishi kumbe ni yeye mwenyewe..
Hata Nape alivyotaka kuongea baada ya kufanyiwa uhuni kipindi kile ALINYOOSHEWA BASTOLA!
Hivi ni ukumbi gani utakubali KUHOST inshu ya pole pole leo?
Labda afanyie home kwake...
Trust me hiyo press labda ifanyike angani
#########
Nahisi hata kama ni online mtandao unaweza kuzimika pia..