Makusanyo ya TRA kwa mwezi ni kama Billioni 900 sio million, nafikiri kuna makosa.Pia unatakiwa kujua wanaposema mshahara wa Raisi labda ni sh. Million 200 au 400 sio kwamba analipwa Cash ya 200m au 400m maana yake ni kwamba gharama za raisi kwa mwezi, Yaani nyumba, afya, walinzi binafsi na wa...