Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 6,203
- 5,064
Mihemuko ya kilofa leo mnamsifia zitto
kupenkupenda hera sanduku jekundu limeisha fedhaLackeys mnatabu sana,mkiona bwana yenu kamchukia mtu na nyinyi mnalazimika kumchukia hata kama hamjui hata chanzo cha ugomvi wao ili mumridhishe tu bwana yenu na ikitokea wamepatana mnaanza tena kujishebedua.
Hawa jamaa uwezekano wa ku-settle tofauti zao ni mkubwa sababu issue ilikuwa uenyekiti tu na lengo la kumpoteza kisiasa limeshindikana so running dogs jiandaeni tena kuanza kumuimbia mapambio.
Hapa nafikiri mmawia anahusika sana.sasa wale bavicha sijui watakuwa na kazi gani. maana wao ilikuwa kutwa kucha kumtukana Zitto humu. sasa Boss wenu kafanya tofauti.
mjifunze kitu hapa; msiamini sana mnayoambiwa na wanasiasa. nyie mtauana wakati wao wakinywa chai pamoja. take care.
Inaonekana zito amepoteza kwa kutokuwepo CDM hata huko aliko hajaridhika. Ama sivyo asingekuwa anasemwa kuhusiana na CDM. CDM hawajasema wanamhitaji aendelee na mambo yake. Lakini kama atakuwa akifanya kitu washabiki wake wakitumie kukoga CDM ni kuonyesha kuna alichopoteza na anachokosa akiwa nje ya CDM.Katika mazingira ya kusikitisha wale waliomwita msaliti katika chama wajikuta ghafla wakitoa pongezi kubwa kwake, kwa kuonyesha ushujaa. Zitto Kabwe kwa upande wake amekaliliwa akisema waliokuwa wabaya wake tayari amewasamehe.
Zitto ajachana nyweleView attachment 319821
Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe (kulia) akipeana mkono na Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe.
Siku zote kiburi cha Serekali ya Ccm huwa kinakuwa faida kwa upinzani tanzania.
Mtakubumbuka kiburi cha Ccm kwenye bunge la katiba,kilizaa Ukawa kwa mara ya kwanza Cuf na CDM wakajoin pamoja.
Hilo limejitokeza tena jana.Mwondelezo wa kibri umefuta tofauti kati ya ACT na CDM
Leo nani alitaraji zitto atakula sahani moja na Lema?
Leo zitto yupo pamoja tena na mlezi wake wa kisiasa Freeman
Kiburi kimezaa jeuri
Katika mazingira ya kusikitisha wale waliomwita msaliti katika chama wajikuta ghafla wakitoa pongezi kubwa kwake, kwa kuonyesha ushujaa. Zitto Kabwe kwa upande wake amekaliliwa akisema waliokuwa wabaya wake tayari amewasamehe.
Hupendi watu wapatane??Katika mazingira ya kusikitisha wale waliomwita msaliti katika chama wajikuta ghafla wakitoa pongezi kubwa kwake, kwa kuonyesha ushujaa. Zitto Kabwe kwa upande wake amekaliliwa akisema waliokuwa wabaya wake tayari amewasamehe.
Kwenye Siasa hakuna adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu.
Zitto ili apate kung'aa ana wahitaji UKAWA.