Mwakyembe: Hotuba ya Magufuli imevunja rekodi ya dunia

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,230
116,846
Kwa mujibu wa Mwakyembe....hotuba bora kuliko zote
kabla Magufuli hajahutubia bunge ilishangiliwa mara 77 huko Marekani
ya Rais wa zamani wa Marekani

Sasa hotuba ya Magufuli imevunja rekodi hiyo...na kuifanya hotuba ya aina yake duniani

Mwakyembe kaongea live bungeni ....halafu kasema wapinzani kususia bunge wanavunja katiba
kamtaka spika aone namna ya kuwaadhibu kwa kuvunja katiba.....

Binafsi naona kama Nape ni nafuu mara 100 kulinganisha na Mwakyembe
 
Mwakyembe hajakosea kwa kuwa waliokuwa wanashangilia ni ccm kwa kuwa ndiyo walikuwa wamebaki bungeni, na walikuwa wanashangilia kwa nguvu kwa kuziba aibu ambayo waliipata baada ya upinzani kutoka nje, hilo la kususia bunge kama kuna sheria inaweza kuwatia wapinzani hatiani waitumie lakini kwa kumbukumbu zangu itakuwa ngumu kama itakavyo kuwa ngumu ccm kuithitishia bunge kuwa shein ni rais halali wa znz
 
Kwa mujibu wa Mwakyembe....hotuba bora kuliko zote
kabla Magufuli hajahutubia bunge ilishangiliwa mara 77 huko Marekani
ya Rais wa zamani wa Marekani

Sasa hotuba ya Magufuli imevunja rekodi hiyo...na kuifanya hotuba ya aina yake duniani

Mwakyembe kaongea live bungeni ....halafu kasema wapinzani kususia bunge wanavunja katiba
kamtaka spika aone namna ya kuwaadhibu kwa kuvunja katiba.....

Binafsi naona kama Nape ni nafuu mara 100 kulinganisha na Mwakyembe
Mwakyembe amesahau kuwa jana Chenge aliulizwa kama kuzuia mwananchi kutopata habari si ivunjaji wa katiba
Chenge hakuweza kujibu! Yaani Mwanasheria mkuu wa zamani wa serikali hakuweza

Hotuba ya magufuli imepoteza mvuto baada ya kulazimishwa na CCM.
Haya maneno ya akina Mwaky ni katika kuipamba

Kushangiliwa mara 1000 hakuna uhusiano na contents. CCM wanaweza kushangilia hata mara milioni, kwao tumbo mbele taifa baadaye

Hotuba imapoteza maana kabisa kutokana na hali ya bunge ilivyo. Wanaipamba pamba na utuli inukie
 
Mwakwembe wa Richmond na huyu wa vyeo vya uwaziri ni watu wawili tofauti.huyu wa sasa ni kada kindakindaki wa CCM anaweza kusema chochote kuipaisha CCM hata kuficha maovu.macho yake yamepofushwa siku hizi.kumbuka BUNGE la katiba alivyokana utafiti wake mwenyewe.
 
Mwakyembe amesahau kuwa jana Chenge aliulizwa kama kuzuia mwananchi kutopata habari si ivunjaji wa katiba
Chenge hakuweza kujibu! Yaani Mwanasheria mkuu wa zamani wa serikali hakuweza

Hotuba ya magufuli imepoteza mvuto baada ya kulazimishwa na CCM.
Haya maneno ya akina Mwaky ni katika kuipamba

Kushangiliwa mara 1000 hakuna uhusiano na contents. CCM wanaweza kushangilia hata mara milioni, kwao tumbo mbele taifa baadaye

Hotuba imapoteza maana kabisa kutokana na hali ya bunge ilivyo. Wanaipamba pamba na utuli inukie
Mimi kilichonishangaza ni Mwakyembe kufanya hii kazi
nilitegemea Nape au Lusinde aseme haya..
 
Bi
Kwa mujibu wa Mwakyembe....hotuba bora kuliko zote
kabla Magufuli hajahutubia bunge ilishangiliwa mara 77 huko Marekani
ya Rais wa zamani wa Marekani

Sasa hotuba ya Magufuli imevunja rekodi hiyo...na kuifanya hotuba ya aina yake duniani

Mwakyembe kaongea live bungeni ....halafu kasema wapinzani kususia bunge wanavunja katiba
kamtaka spika aone namna ya kuwaadhibu kwa kuvunja katiba.....

Binafsi naona kama Nape ni nafuu mara 100 kulinganisha na Mwakyembe

Binafsi naona Ukawa watulie tu wasubiri kunyolewa kimtindo maana JK ndio alikuwa mwisho wa Uanaharakati wa upinzani.........
 
Back
Top Bottom