This is Mike Iron Tyson the world successfully boxer with his Financial advisor that time but now is the president of USA and Tyson is a normal citizen.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watoto na watu wazima walishafanyiwa vitu vibaya sana na hao mapadri, mpaka papa alizunguka kule America ya kusini anaomba msamaha.
Huku Africa wanazaa bila tabu, ni wachache wasio na familia.
Najua mapadri, Masista na mafadha wapo kwenye harakati za kudai Uhuru wa kuachiwa wajamiiane kw...
Nnachojua pale Mara pamepoa sana siku hizi, Luoga amejitahidi kupambana na watu vichwa sana hapa Tanzania, lakini kama alifikia mahali naye akaamua ajilipe kisiri siri bila mtu kujua basi naye asimame kwenye zamu yake.
Kama wakenya hawakumchagua Raila mtu asiye na harufu ya ufisadi, tusije kusikia mnalalamika kuhusu ufisadi nchini mwenu. Nyie endeleeni kuchagua watu wenye historia ya Wizi na ufisadi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo nayo ni kazi, usikariri kazi kuwa ni lazima upate pesa wengine wanaridhika moyo wakipewa hata asante
Hakuna askari aliyeachishwa wala atakayeachishwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.