Recent content by Akilimali2001

  1. A

    JamiiForums Tanzania ujambazi CBA Nyerere Rd: Picha kamili

    Kaaz kwelikweli! Mabomu ni ya kuua Raia na CDM sio wezi na majambaz....
  2. A

    JamiiForums Tanzania Polisi wafichua siri za mauaji WAYAHUSISHA NA AMRI ZA WAKUBWA

    Huyu Zomboko ni Fisadi! Hahaaa... ZOMBOKO Kweli we ni ZOMBOKA la ukweliii..
  3. A

    JamiiForums Tanzania Askof Malasusa acha kujifanya wewe si muuaji.

    Mh! Hoja nyingine ni za kinyang'au!
  4. A

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yavuna maelfu ya wanachama katika majimbo sita tu ya Morogoro

    Acha ufedhuli wewe!
  5. A

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa anasa nyaraka za siri za CCM za kuingiza silaha nchini

    Wakubwa mbona mambo ya kimsingi mnaropoka? Kwani mangapi kashasema mkaropoka kuwa uongo na baadae mkaumbuka? Hata Ulimboka angesema mnge mropokea! Hivi ndivyo majambazi ya CCM yanavyojipanga kung'angania madaraka, na wananchi tumeshafahamu sasa TUNASEMA IMETOSHA tunataka haki kwa kila mtanzania...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Wilaya za Mwanga na Same zimekamilika?

    Shika adabu na ukae kimya! Wachaga hawataki mutu goigoi asiyeleweka. Nani kakwambia wachaga wako tayari kukumbatia wezi? Au vibaraka wa CCM?
  7. A

    JamiiForums Tanzania Ifuatayo ni migogoro hatari sana isiposuluhishwa CCM yetu inaweza kuondoka madarakani 2015

    Migogoro kati yangu mimi na serikali kuhusu mikataba feki inayn ingiza hasara kwa Taifa letu.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Tamko la Ikulu juu ya tishio la kuuawa viongozi wa CHADEMA

    Wengi walisha kufa kisha usalama wa Taifa ukapiga kimya kwa kuwa walihusika wao na kama sivyo tukutane mahakamani kwa mifano ifuatayo; kifo kile cha Kombe Arusha, kolimba, hujuma zilizowapata ulimboka na kubenea, wabunge wa CDM walio umizwa hvi majuzi nk. Haya nayo wanasema nini kwa watanzania...
  9. A

    JamiiForums Tanzania kama ungekuwa ni wewe ungefanyaje?

    Mi ninge sapa fasta!
  10. A

    JamiiForums Tanzania A mother taught her son to go toilet by numbers

    Duh! Dogo mkali.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Salam zangu kwenu

    Wana Jf. Natumai wote mwenyezi uzima kawajalia. Napendezwa na blog hii ya kijanja na ndo nimejiunga rasmi ila tatizo ni baadhi ya lugha zinazo chefua kutoka kwa baadhi ya watu ila naamini watajirekebisha soon. Asanteni na tuzidi kuangaza upeo kupitia bog hii.
Back
Top Bottom