Ifuatayo ni migogoro hatari sana isiposuluhishwa CCM yetu inaweza kuondoka madarakani 2015

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,182
3,547
Mimi nikiwa kama mwanachi na mpenzi wa ccm.....migogoro hii isiposuluhishwa mapema inaweza kusababisha ccm kuondolewa madakakani uchaguzi mkuu 2015 kama ifuatavyo

1.mgogoro kati ya walimu na serikali
2.mgogoro kati ya madaktari na serikali
3.mgogoro kati ya waisilamu na serikali juu ya balaza la mitihani
4.mgogoro kati ya waisilamu na serikali juu ya mahakama ya kadhi
5.mgogoro kati ya waisilamu na serikali juu ya sensaa
6.mgogoro kati ya makarani wa sensa na serikali kuhusu posho za sensa
7.mgogoro kati ya wakazi wa kigamboni na serikali kuhusu kuondolewa wa wachimbaji wadogo
8.mgogoro kati ya wakurya na serikali kuhusu mgodi wa north mara
9.mgogoro kati ya serikali na wanafunzi wa elimu ya juu kuhusu bodi ya mikopo
10.mgogoro kati ya walionacho na wasiokuwa nacho........

Sasa baada ya hapo unaweza kuongezea za kwako unazozifahamu........hiyo migogoro
 
Migogoro kati ya Lowassa na Kikwete
Mgogoro kati ya Membe na urais 2015
Mgogoro kati ya wananchi kuwa masikini na serikali ajui kwanini Tanzania inakuwa masikini!
 
Mgogoro wa wananchi na Serikali, maisha yanazidi kuwa magumu. CCM ijiandae kuondoka.
 
Wee unazungumzia kuondoka? Tayari haipo tena miaka hiyo waanze tu kujiandaa kurudi 2020 kaa wako tayari na hapo ujue fisadi zote zitakua ze hague au marehemu kwa presha. Anzrni upya majambazi nyie.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mtoa mada upo sahihi kabisa! CCM wanajiona waporight lakini wataangukia pua 2015.
 
Mgogoro kati ya Mafisadi na wasiotaka ufisadi kuendelea.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mimi nikiwa kama mwanachi na mpenzi wa ccm.....migogoro hii isiposuluhishwa mapema inaweza kusababisha ccm kuondolewa madakakani uchaguzi mkuu 2015 kama ifuatavyo

1.mgogoro kati ya walimu na serikali
2.mgogoro kati ya madaktari na serikali
3.mgogoro kati ya waisilamu na serikali juu ya balaza la mitihani
4.mgogoro kati ya waisilamu na serikali juu ya mahakama ya kadhi
5.mgogoro kati ya waisilamu na serikali juu ya sensaa
6.mgogoro kati ya makarani wa sensa na serikali kuhusu posho za sensa
7.mgogoro kati ya wakazi wa kigamboni na serikali kuhusu kuondolewa wa wachimbaji wadogo
8.mgogoro kati ya wakurya na serikali kuhusu mgodi wa north mara
9.mgogoro kati ya serikali na wanafunzi wa elimu ya juu kuhusu bodi ya mikopo
10.mgogoro kati ya walionacho na wasiokuwa nacho........

Sasa baada ya hapo unaweza kuongezea za kwako unazozifahamu........hiyo migogoro

Huo wa makaran co mgogoro wa kudumu wik 1 tu zoez lnakwsha after all co ajira hyo, ni dei waka tu
 
mgogoro kati machangudoa na serikali kuhusu kukamatwa na polisi
mgogoro kati ya mashoga na serikali kwa kutoruhusu ndoa ya jinsia moja
 
Kifupi nchi haitawaliki,migogoro mingine wana-ccm wanaitafuta,emu fikilia mgogoro wa serikali na mwanahalisi!...yaani mpaka aibu kwa mataifa jirani
 
Mgogoro kati yangu na serikali kwa kukosa miundombinu imara kwenye makazi ya watu richa ya kodi nyingi tunazolipa
 
Kuna mgogoro mpya kati ya Mahakimu na Serikali. naona wameanza kuiadhibu. igunga hiyoooo
 
Back
Top Bottom