kama ungekuwa ni wewe ungefanyaje?

Mujumba

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
853
306
[h=6]Jamaa mmoja katika baa moja mjini...

Jamaa:Mhudumu nipe kinywaji na kila mmoja mpe kinywaji humu ndani
**Maana wakati mimi napata kinywaji lazma kila mtu apate kinywaji...
(BEER)
... Haraka sana mhudumu akagawa vinywaji

JAMAA:Mhudumu nipe supu na kila mtu humu ndani.mpe supu maana wakati mimi napata supu lazma kila mtu apate supu..
Mhudumu akagawa supu tena safari hii wote wakapiga makofi..

Jamaa:Mhudumu nipe bili na kila mtu humu mpe bili maana wakati mimi nalipa bili yangu lazma na kila mtu alipe bili yake..

JE..WEWE UNGELIPAAA... au UNGEFANYAJE?[/h]
 
hapo kwenye bili ndo ishu ilipo kama ni mimi ningesepa, ila do jam kaniingiza kwenye hasara maana bajeti yangu nitakuw nimeiharibu
 
Back
Top Bottom