Mkuu babako kakuchoka anakuoana kama zigo linalosubiri kuoza lipitiwe na maji ya mvua. Unadhani ni jambo dogo baba kukuacha ashindwe hata kukujengea kaself ??? Kaona acha maisha yakufunze na ngoja ushindwe kulipa kodi utajutraa mkuu. Ila kwa wabebez wa mtaa wanaonekana wana hasira na wewe balaa...
Mkuu lala sasa ushafanya kazi mchana kutwa au ndo unafata wabebez mwenzio riz yuko na wife analea wanae wewe unaenda kulea pros wa mikocheni. Aibu kubwa sana hii le mutuz akili kubwa iko wapi sasa ?????
Mkuu le mutuz unajua nimejikuta nasoma huu uzi mwanzo mwisho. Nimekubali hii akili kubwa inaelekea Invisible umem pm asiufute uzi au kuunganisha na mwingine. Ila nakushauri ujenge hata room na kaseble chako uache upoyoyo wa kukaa nyumba za kulala ukute kina Rizi wanakucheka kwa hilo life...
Acheni wivu wa maendeleo pumbavu zenu hamna hata kiwanja kugamboni vinauzwa milioni 1 au 2 mmekaa mnatokwa na mapovu eti tangu 2009. Laanakum nyie ndo mana hata mungu anawatupa unafikiri mungu anapenda husda ????
Mwaka jana nilikopa hela nikawa nakatwa miezi mitano salary yote nilijikomit ili nimalize haraka sababu sikua na kazi na mshahara. Hela ya matumizi nauza kuku zangu life linasonga coz sina mke wala dem. Mwaka huu nimedhamiria kujenga na kwa mazoea ya kutotumia hela nilojenga salary ya january...
Siri ya utajiri kwangu mimi naamini ni utajiri. Nalipwa 650000 kwa mwezi natumia elfu 50 vocha n.k. nakula home nakula kazini natumia usafiri wa bure sina mke sina mtoto sina mademu wapigaji. Kwanini nisisave hela yangu ???? Vijana wengi nawajua wanalipwa karibu milioni ila mtu hawezi kusave...
Mzee kaamua kuwatunuku mapacha na mama kitu cha kwenda market. Juzi kati mke wa Slilaaaha akawa anasema mumewe eti ni baba. Ina mana hajaoa ???? Jakuilini itabidi amuite babu wa wanae au nae kawekewa pingamizi aitishe vyombo vyake atangaze vita kama kawaida yake.
Mbona unaanza kuleta ubaguzi kwenye jambo lisilo na msingi ???? Ina maana msikiti ukirekebishwa we unaumia sana. Ajabu hutatoa hata mia mapovu ya njaa tu ndo yatakutoka humu. Mxiiiiiiu
Nimesoma mistari kidogo. Huu upumbavu wa kulazimisha kuandika kiingereza utagharimu watu sasa ujumbe umefika ????? Unaandika heading nzuri maelezo pumb* tupu ??? Mods tunaomba mfute huu uzi wa huyu mwandishi kanjanja. Period
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.