CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 943
hao wapo sana nilisha mkuta kwenye kundi la siafu. sijajua anauhusiano gani na siafu
Mkuu Mimi naishi mazingira yenye nyoka sana....sasa nasikia kna mmea ukipanda kunguka uzio nyoka akanyagi kabisa...je huo ni mmea gain!? je kuna ukweli wwte kuhusu jiwe LA kunyonya sumu nyoka au PESA aina ya sarafu!?[/QUOTE]WAKUU!!!
HUYO NI NYOKA,YUPO KWENYE KUNDI LA:BLIND SNAKES-(FAMILY TYHLOPIDAE)NA HANA VICHWA VIWILI KAMA TUNAVYODHANI!NYOKA HUYU NI KIPOFU NA SEHEMU YAKE YA MBELE INAFANANA SANA NA MKIANI SO HII IKAPELEKEA KUDHANI KWAMBA ANAVICHWA VIWILI.KUNA AINA ZAIDI YA 240 ZA NYOKA HUYU NA KWA E.AFRICA TUNA AINA23 IKIWA NI PAMOJA NA HUYU TUNAYEMJADILI HAPA.
NYOKA HUYU UISHI KWENYE MASHIMO YENYE UNDONGO LAINI NA KIPINDI CHA MVUA KAMA HIKI NDIO HUTOKA KWENYE MASHIMO MAANA MASHIMO HUJAA MAJI.
CHAKULA CHAKE NI WADUDU WARUKAO NA MCHWA PAMOJA NA LAVA(LARVAE).UNAWEZA NIULIZA CHOCHOTE KUHUSU NYOKA MAANA NDIYO FANI YANGU HASWAAAAA!!!
AHSANTENI KWA USHIRIKIANO!!!!
Nikiwa mdogo kule kijijini, huyu nyoka akionekana tulikuwa tukiambiwa jambo baya litatokea kwenye familia kama msiba
WAKUU!!!
HUYO NI NYOKA,YUPO KWENYE KUNDI LA:BLIND SNAKES-(FAMILY TYHLOPIDAE)NA HANA VICHWA VIWILI KAMA TUNAVYODHANI!NYOKA HUYU NI KIPOFU NA SEHEMU YAKE YA MBELE INAFANANA SANA NA MKIANI SO HII IKAPELEKEA KUDHANI KWAMBA ANAVICHWA VIWILI.KUNA AINA ZAIDI YA 240 ZA NYOKA HUYU NA KWA E.AFRICA TUNA AINA23 IKIWA NI PAMOJA NA HUYU TUNAYEMJADILI HAPA.
NYOKA HUYU UISHI KWENYE MASHIMO YENYE UNDONGO LAINI NA KIPINDI CHA MVUA KAMA HIKI NDIO HUTOKA KWENYE MASHIMO MAANA MASHIMO HUJAA MAJI.
CHAKULA CHAKE NI WADUDU WARUKAO NA MCHWA PAMOJA NA LAVA(LARVAE).UNAWEZA NIULIZA CHOCHOTE KUHUSU NYOKA MAANA NDIYO FANI YANGU HASWAAAAA!!!
AHSANTENI KWA USHIRIKIANO!!!!
Nimefurahi sana kujua ndumilakuwili ni nyoka........nilidhani ni jina la kwenye Sani tu.......
sasa huyo mdau hapo juu kasema alimkuta kwenye siafu........ana uhusiano wowote na hao jamaa...........?.........[/QUOTE]
Huyo wa kwenye siafu ni tofauti na huyu.Wa kwenye siafu anaitwa MALKIA na ndiye mzazi wa SIAFU na MCHWA,as well NYUKI mala nyingi ni mweupe.Binafsi mie nimewahi kumuona huyo MALKIA mara 1 tu na nilikua ata sijaanza shule nadhani was 1986,kuhusu jiwe la nyoka ni kweli lipo na kazi yake ni kunyonya sumu but si ya nyoka wote,bcoz kuna nyoka sumu yake inasafiri mwilini kufuata mapigo ya moyo yanavyokwenda.so kila uvutapo pumzi na sumu inapanda mwilini.Kuna nyoka akikuuma cha kwanza sumu yake inaua white blood cells faster,then kifuatacho ni kutoka damu kila sehemu yenye tundu mwilini mwako.
kuhusu mti unaozuia nyoka kuingia kwa kweli sina elimu juu ya hilo sorry!!
.