uporo wa wali ndondo
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 3,454
- 2,244
Mie mwenyewe nimeacha domo langu waaaaazi baada ya kusikia kusoma hiyo ya jux!!!!
Huyu bwana mdogo jux niliona picha ya nyumba yake, nikajisema kimoyomoyo kuwa mziki wa bongo ni zaidi ya ulaya na america,maanake single kadhaa tu unadrive bugatti.



