Recent content by akida jr

  1. akida jr

    Matumizi ya Lugha ya Kiarabu kwenye kujifunza dini ya Kiislam ni utumwa wa hadharani

    Kwa faida yetu wasomaji hapa ni vema ukaleta japo wanazuoni wawili kwa uchache waliosema Allah hasikii lugha yoyote zaidi ya kiarabu, ama rejea inayoaminika, la sivyo utakuwa UMEZUSHA UONGO.
  2. akida jr

    Tax Management Officer II vs Custom Officer II

    VAT Act pia haikwepeki
  3. akida jr

    Soko la Karume limeungua moto

    [emoji3] eti Tiasies.
  4. akida jr

    Anayewalipa wanaopiga kelele za Katiba Mpya atalipa hadi lini?

    Shida iliyokuwepo ni kwamba kwa kiasi kikubwa vuguvugu la madai na wanopingana (na huenda wakakubali siku za baadae)ni wanasiasa. Na hao hao ndio hujakutawala mchakato mzima kuanzia kwenye mamlaka ya kuandaa muundo wa tume na upatikanaji wa kiongozi wa hiyo tume pamoja na wajumbe wake. Na hata...
  5. akida jr

    Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

    Mluzi wa kumpeleka mbwa kusiko
  6. akida jr

    Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

    Sabasaba hapa Tz ni mwezi gani kwani?
  7. akida jr

    Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

    Kwani nani huwa wanafungua maonesho hayo kila mwaka? Tarehe iko sahihi.
  8. akida jr

    Ulishughulika vipi na kisa cha namna hii?

    Bila shaka yupo wa moyo wako ambaye unamfuatilia kabla hujaonana na 'Prisca' hiyo juzi. Kama kweli yupo basi shikilia na endelea kufuatilia ujiridhishe ukiwa na nafasi na uhuru wa kufanya maamuzi sahihi. Prisca wa stendi ya Makumbusho siyo yule wa kipindi mko shule. Kumbuka alikukataa wewe...
  9. akida jr

    Ni kweli Waafrika tunastahili jina hili?

    Sijaona uhusiano wa MTU Mweusi na nyani kwenye hii stori.
  10. akida jr

    Watu watatu wapandishwa Kisutu wakikabiliwa na njama za Ugaidi

    Kudhurika na nini? Kwani si ni tuhuma tu au wamekutwa na hatia?
  11. akida jr

    Mtume Mwamposa 'Buludoza' popote pale ulipo, tafadhali nijibu haya maswali yangu muhimu sana kwako

    Tofauti ni kubwa na ya wazi kabisa. Ibrahim sadaka yake ilikuwa na maana halisi ya sadaka kwa kuwa ilikuwa ni sadaka kwa ajili ya Muumba wake BALI kinachofanyika pale Kawe ni ufukarishaji tu wa wafuasi. Michango anakabidhiwa mtu kwa jina la sadaka tu. Poleni.
  12. akida jr

    Nini kilimfanya Benjamin Mkapa ashindwe kuchapa Taazia ya muasisi wa TANU Abdul Sykes katika magazeti ya chama?

    Kipengele namba 5 kinachohusu ukatibu wa chama Tabora sijaelewa. Na ni lini alichaguliwa kuwa katibu?
  13. akida jr

    Gwajima na siasa za Ubunge

    Akiwa kwenye ardhi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  14. akida jr

    Gwajima na siasa za Ubunge

    Labda hujamwelewa Mzee Mohamed Said , yeye ameshakwambia igeuze hiyo kauli iwe kinyume chake ndio ungejua nani ni nani.
Back
Top Bottom