Ettore Bugatti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 4,123
- 8,253
Gwaji uno boy Sasa Ni wakati wa kutafuta sympathy kwa kondoo wake.
Vipi Shura ya imamu wanasemaje?BAKWATA wamemdhamini tayari
Labda hujamwelewa Mzee Mohamed Said , yeye ameshakwambia igeuze hiyo kauli iwe kinyume chake ndio ungejua nani ni nani.Hili la matamshi ya Gwajima kuhusu kugeuza Madrasa kuwa Sunday Schools na Makanisa inabidi ulaumu utawala uliopo kwa kutomchukulia hatua na BAKWATA kwa kukaa kimya. Huu utawala unaupendeleo wa wazi ka kikabila, kikanda na kidini.
Akiwa kwenye ardhi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Hayo maneno aliyatamka kwenye kampeni au kanisani kwake? tuanzie hapo
Hebu soma nilichoandika na ulichoandika wewe halafu uje tena ucomment. Mwenzio Mzee Mohamed Said kapita kimya. Usidhani hajaona nilichoandikaLabda hujamwelewa Mzee Mohamed Said , yeye ameshakwambia igeuze hiyo kauli iwe kinyume chake ndio ungejua nani ni nani.
Kinyungu,Hebu soma nilichoandika na ulichoandika wewe halafu uje tena ucomment. Mwenzio Mzee Mohamed Said kapita kimya. Usidhani hajaona nilichoandika
Weeeee! Mtu alisema Yesu sio Mungu alifungwa huko Moro bila waislam kuingilia kati ilikuwa nitoleeeSasa hata sheikh angesema nini kingetokea maana hata wasingehangaika naye kama ambavyo hawakuhangaika na Gwajima maana halina uzito wowote maana haliwezekani hilo
Mbona huwa mnasema Yesu siyo Mungu na hakuna lolote linalotokea kwenu mnajitengenezea tu hofu isiyokuwepo
Kama hujafanya tafiti usiandikeSasa hata sheikh angesema nini kingetokea maana hata wasingehangaika naye kama ambavyo hawakuhangaika na Gwajima maana halina uzito wowote maana haliwezekani hilo
Mbona huwa mnasema Yesu siyo Mungu na hakuna lolote linalotokea kwenu mnajitengenezea tu hofu isiyokuwepo
Mzee Mohamed ukisoma comment yangu nimesema wazi wa kulaumiwa ni serikali kwa kutokumchukulia hatua yoyote, tena nikasema hata BAKWATA wanabeba lawama maana pamoja na kusikia matamshi hayo hawakusema chochote wamebaki kama mabubu. Au haukutaka kusoma comment yangu mheshimiwa?Kinyungu,
Kweli hebu fikiri sheikh angesema nataka nigeuze Sunday schools zote ziwe madrasa ingekuwaje.
Ndugu yangu kakupa ushauri mzuri.
Fanya hivyo na rejea hapa utupe fikra zako.
Kinyungu,Mzee Mohamed ukisoma comment yangu nimesema wazi wa kulaumiwa ni serikali kwa kutokumchukulia hatua yoyote, tena nikasema hata BAKWATA wanabeba lawama maana pamoja na kusikia matamshi hayo hawakusema chochote wamebaki kama mabubu. Au haukutaka kusoma comment yangu mheshimiwa?
Huyo Bwana hapuuzwi na Waislamu tu, kila Mwenye akili timamu anajua yule jamaa ni Mpiga dili tu...na inashangaza Mtu kama Mzee Saidi kutia uzito kwa mambo yasiyohitaji hata kufuatiliwa.Waislam wamempuuza tapeli na upumbavu wake badala ya kuwapongeza unawalaumu
Huyu si Padre na nashukuru hata yeye mwenyewe hajawahi na asithubutu kujiita Padre maana hafananii kwa maneno wala matendo yake!!Mohamed Said unakosea sana. Siyo kila Nabii, Mtume na Askofu ni Padri. Padri ni wadhifa wa kanisa katika dhehebu la Catholic na Anglican pekee. Ama umepotosha makusudi au kutokujua(siamini kama haujui).
Hilo ni suala tofauti. Ampe tu kama mkakati wake utafanikiwa kupitia huyu. Ila kwa mwenendo wake ni dhahiri hana msimamo, si mtunza ahadi na anaweza kuvunja hata kiapo chake wakati wowote!!Subiri uone akipitishwa kugombea Kawe ndo ujue kwamba #1 hapangiwi
May Day, kuna hoja ambayo sijui kama wengi wanaielewa! huenda wanaielewa lakini hawataki kukabiliana nayo. Hilo ni tatizo kubwa kwa Watanzania.Kama hayo Magazeti yamempuuza kwa nini na wewe unashindwa kumpuuza?,
Ni wapi umeona Nabii Tito akipewa kipaumbele kwenye vyombo rasmi vya habari zaidi ya mitandaoni?..
.Kwa nini wewe unatamani wawe wanatoa uzito kwa mambo yasiyo na afya kwa jamii kama hayo?.