Recent content by akida japanees

  1. akida japanees

    JamiiForums Tanzania Utabiri: UKAWA Kuibuka washindi dhidi ya CCM. Kikwete kusalimu Amri kwa Lowassa

    Lowassa kuingia ikulu ni sawa na Ngamia kupita ktk tundu la sindano!!
  2. akida japanees

    JamiiForums Tanzania Utabiri: UKAWA Kuibuka washindi dhidi ya CCM. Kikwete kusalimu Amri kwa Lowassa

    Khaa!! Huo utabiri rudia tena ikibidi fanya auto-search ktk kifaa cha utabiri!!
  3. akida japanees

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Mh!! Ukistaajabu ya magufuli.........
  4. akida japanees

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nashindwa kumsamehe mke wangu, ametembea na Mkurugenzi wa Ofisini kwake...

    Wewe Ulitakaje mkuu?
  5. akida japanees

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nashindwa kumsamehe mke wangu, ametembea na Mkurugenzi wa Ofisini kwake...

    Nimepata funzo
  6. akida japanees

    JamiiForums Tanzania Hivi nyumba kama hii inaweza gharimu Shilingi ngapi?

    Inategemea unaijengea wapi mkuu!! Maana gharama za ujenzi zinapishana kutoka eneo moja hadi lingine!! Kwa aliesema haipungui mil. 800 yuko sawa kabisa!! Iwe kwa mkandarasi au ukomae mwenyewe bado itavuka 8000. Kwa mujibu wa oxfam, worldvision, kuna shule ambayo ni ya kawaida sana ila wamesema...
  7. akida japanees

    JamiiForums Tanzania Alhaji Mussa Salum: Mwezi haujaonekana

    Haiwezekani kondoa uone mwezi halafu Dsm na Z'bar wasiuone!! Kwa sababu wao wako mashariki zaidi.
  8. akida japanees

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hata sura simjui, ananiomba hela

    Hahaa pole sana! Huyo ni tapeli.
  9. akida japanees

    JamiiForums Tanzania Siasa zimefikia tamati kwa hawa wafuatao

    Kweli kabisa!!
  10. akida japanees

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa atoa ya moyoni, awataka wanaomtuhumu walete ushahidi

    Siasa ni nooma!!
  11. akida japanees

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya Lowassa yanatisha!

    Mh! Kazi ipo.
  12. akida japanees

    JamiiForums Tanzania Lowassa apata zaidi ya wadhamini Elfu hamsini jijini Mbeya

    Mahakama ipi? Ikiwa jaji anataka kujukua fomu ya urais, Mahakama ipi ikiwa huo mgao jaji nae kala % zake?
  13. akida japanees

    JamiiForums Tanzania All about ALPHA BLONDY

    Khaaa!! Kumbe basi nine-rename vibaya, ngoja nifanye marekebisho.
  14. akida japanees

    JamiiForums Tanzania All about ALPHA BLONDY

    Kuna wimbo wake mmoja unaitwa "Nothing but a prayer!" Vyombo vimepigwa vizuri sana humu!!
Back
Top Bottom