All about ALPHA BLONDY

All about ALPHA BLONDY

Banana, Sweet Fanta dialo, God is one, Peace in Liberia...list ni ndefu nyimbo zake ni kama nimelogewa nazo

List ni ndefu....

List ni ndefu kweli mkuu,tena sio masihara

Ca me fait si mal na Science Conscience...mbona hujazitaja hizi mkuu mi ndio nazipenda sanaaaa. Flash yangu kwenye gari nimezirudia zaidi ya mara kumi.

Una haki ya kuzirudia mara nyingi mkuu,ila zipo zingine ukibahatika kuzickia basi ujue utazirudia saaana
 
Peace in liberia hatare sn.. huyo jamaa anajua japo hatumii sn ngeli ila ni kwere

Nilipenda nyimbo zake before hata cjajua kifaransa,now nimeijua hii lugha so huwa naenjoy kimtindo japo lugha ya Kidioula inaniacha
 
List ni ndefu kweli mkuu,tena sio masihara

Una haki ya kuzirudia mara nyingi mkuu,ila zipo zingine ukibahatika kuzickia basi ujue utazirudia saaana

Kuna hizo maarufu sana kama Peace in Liberia, God is One, Papa Bakoye nakuwa kama nimezichoka hizi zisizo maarufu sana nazipenda sana.
 
Mkuu Analyse, tuwekee na historia ya Peter TOSH
 
Kuna hizo maarufu sana kama Peace in Liberia, God is One, Papa Bakoye nakuwa kama nimezichoka hizi zisizo maarufu sana nazipenda sana.

Jaribu kuckiliza
*Mystic Night Move
*Masada
*Wari bana (Multipartisme)
*I wish u were here

Hizi pia ni nzuri.
 
Kuna Albamu nimewai kuisikiliza ilikuwa inaitwa Jambo, Sijui msaani gani aliimba.
 
Nadhani baada ya Bob marley na Lucky dube kufariki,mfalme wa reggae aliyebaki ni yeye Alfa blondy tu.
 
Bredrin wa gwaan ! I n i feel irie fta readin dis post man... We jah peopl always know di feelin of dis life cuz wi live wi dem babylon who trod us down.dem down press us day n day.mi feel gud unu talkin bout dis bredrin alpha blondy...peace and love man... Mi com later wid some mo stuff bout di man.always peace n lov
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom