Recent content by Akca

  1. A

    JamiiForums Tanzania Movies na series Kali za Kijasusi: Chukua mbili hizi kisha shusha zingine

    Nasubiri nyingine🔥🔥🔥
  2. A

    JamiiForums Tanzania Masheikh mliosoma dini na kupata nyadhifa katika jamii acheni tabia ya kuchanganya dini na uganga/uchawi

    Halafu wanajiona hao. Utasikia wanajisifu hawatuwezi/ haniwezi mtu hapa mtaani
  3. A

    JamiiForums Tanzania JamiiForums imenifanya tuamue maamuzi haya mimi na wife

    Kweli.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Mtaje Mnyama au Mdudu unayemuogopa

    Wale wadudu wa miembe na mikorosho msimu wa kutoa maua.. ..nawaogopa sana na siwapendi hata kuwaona mwili unasimsimka
  5. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna binti hana hela ya kulipia lodge. Tunafanyaje wakuu?

    We muache tu si anajifanya hajui
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kati ya Samaki hawa wapi watamu zaidi?

    Ukute niliwahi kula na wala sikujua😀😀
  7. A

    JamiiForums Tanzania Kati ya Samaki hawa wapi watamu zaidi?

    Aisee...huyu mimi sili ukimleta hivi labda uwe umempika tayari. Kama nyoka!
  8. A

    JamiiForums Tanzania Kati ya Samaki hawa wapi watamu zaidi?

    Hao siwajui. Nitawatafuta
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kati ya Samaki hawa wapi watamu zaidi?

    Ana weusi na kama sliver fulani hivi anateleza na hana magamba ndani mwekundu ana bei huyoo
  10. A

    JamiiForums Tanzania Kati ya Samaki hawa wapi watamu zaidi?

    Labda Jodari tu kwa baharini ndo mtamuuu...
  11. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulijuaje upo kwenye mahusiano na kicheche bed to bed midfielder na haukuwahi kumdhania?

    Hongera mkuu.
  12. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulijuaje upo kwenye mahusiano na kicheche bed to bed midfielder na haukuwahi kumdhania?

    Ni sawa ila vyote vinawezekana.
  13. A

    JamiiForums Tanzania Kuishi Tabora inabidi uchague kati ya kushikamana na Imani yako vilivyo au uwe na waganga wa uhakika

    Wote wapo tena wapole wachache. Tabora ni moto...
Back
Top Bottom