Recent content by Akasha

  1. A

    Wananchi wamshauri Magufuli kuongoza vipindi vinne mfululizo

    Jina unalotumia na mada yako sawasawa
  2. A

    Natafuta kazi Nna Diploma ya Utawala ktk serikali za mitaa..GPA yng ni 3.7 Upper second class.

    Rudi shule kwanza upate hata bachelor ndo uanze kutafuta kazi. Unadhani iyo diploma yako nani atakuajiri? wakati kuna cheap labour kibao na tena ni degree holder. Msaada pekee ni kukushauri ukaongeze elimu.
  3. A

    Dr Kitila Mkumbo, "UNDUMILAKUWILI" si hoja ya kipuuzi...!

    Kampuni yako ya zamani haina competition with ur current company.
  4. A

    Ridhiwan, Lowassa waelezea utajiri wao

    Big up Raisi wangu mtarajiwa.
  5. A

    Siombi tena kazi za utumishi

    Je unaqualification za kuitwa??? umesoma kozi gani? sawa utumishi kuna mchezo mchafu lakini huwa wanajitahidi kuwa fair katika kuita watu ingawa wanakuwa wameshapanga watu wao wachache.
  6. A

    Uhusiano wa Intelijensia na watu kama kina James Bond

    wale sio ghosts. ghosts they dont leave the footprints cause they dont exist. sio kama hawa waliomtesa ulimboka mpaka namba zao za simu zimepatikana.
  7. A

    Kura ya maoni: Edward N. Lowassa v/s Bernard K. Membe

    E. Lowasa anafaa kwani he is a strong leader. Hacheki na kima.
  8. A

    Dk. Benson Bana: Kikwete yataje makundi ya CCM

    Nadhani kila mtu mwenye akili timamu anafahamu jinsi CCM ambavyo imegawanyika kwa makundi. Sasa wanapotuongopea ya kwamba kwenye uchaguzi wao watu wameshinda kwa 100% na JK kashinda kwa 99.2% wanafikiri ya kwamba inawasaidia kuongopa kwa jamii ya kwamba chama chao hakina mgawanyiko au? wakati...
  9. A

    CV ya Issa Ponda

    Wana JF wenzangu naomba kufahama kiwango cha elimu (elimu dunia) cha sheikh Issa Ponda. Cause i doubt if he had gone to school, even primary school.
  10. A

    Barua ya wazi kwa Mheshimiwa Rais

    Nice points. Kama ni muelewa inabidi akuelewe katika ili.
  11. A

    CHADEMA kuweni makini sana, kilicho nyuma ya pazia hiki hapa!

    Mmmhhh................Complicated. Lets wait and see.
  12. A

    Barua ya Waislamu kwa Katibu Mkuu wa CCM Kupinga Mahakama ya Kadhi...

    Tena apelekewe uko uko mahabusu akaisome vizuri.
  13. A

    Majaji wa Tanzania hawajui kiingereza - Tundu Lissu

    Ni kweli anachosema Mh Lissu.
  14. A

    Makutano Show: Exclusive Interview na Prof Ibrahim Lipumba

    Muulize chama chao hakina watu wengine competent wa kugombea Urais? Mbona kila siku ni wale wale tu? Hawaoni kwamba wao hawakubaliki ndo maana hawashindi. Wajaribu kuwasimamisha watu wengine waone.
Back
Top Bottom