Siombi tena kazi za utumishi

Akasha

Member
Nov 1, 2012
16
20
Kwanzia nianze kuomba hizi kazi zaidi ya mwaka sjawai itwa kwenye interview,.
Nimetuma maombi karibia mara 40 na vigezo vyote wanavyotangaza ninavyo.
Hata watu nao wafahamu ambao walishawai itwa interview hawajawai pata kazi hata mmoja.
Hi inaonyesha kuna mchezo mchafu utumishi wanaoufanya.

USHAURI
vijana tusiona kazi turudi kijiji tukalime tuachane na hawa utumishi wanatuchezea akili,.
Je unaqualification za kuitwa??? umesoma kozi gani? sawa utumishi kuna mchezo mchafu lakini huwa wanajitahidi kuwa fair katika kuita watu ingawa wanakuwa wameshapanga watu wao wachache.
 
mafanikio

Member
Jul 23, 2009
53
95
Wadau mimi ngoja nimeamua kuwakatia kiu hawa psrs kesho nawaibukia lazima niwape majibu nitakayopewa nakama kesho hawatanipa majibu basi jumatatu ninao ili niweze kupata ukweli wa nafasi tulizoomba kwa taasisi zote na mawizara. Maana kuna mdau namjua pale kila nikimuuliza ananiambia vuta subira mchakato unaendelea sasa na mimi namwambia kesho ijumaa hadi jumatatu naacha kila kitu nashinda ofisini kwao mpaka kieleweke.
 
Zogwale

JF-Expert Member
Jul 10, 2008
12,782
2,000
Wewe ni mtoto wa nani? Do you have any influential person behind you? Zina wenyewe!! Pole!1
 
Brother James

Senior Member
Feb 21, 2012
173
225
Ndomyana a.k.a Kijana, Songa mbele kijana, maisha ndio hayo hayo....find other sources of employment, you need not to depend on UTUMISHI
All the best bro
 
ndomyana

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
4,886
2,000
Je unaqualification za kuitwa??? umesoma kozi gani? sawa utumishi kuna mchezo mchafu lakini huwa wanajitahidi kuwa fair katika kuita watu ingawa wanakuwa wameshapanga watu wao wachache.
ninavovigezo vyote wanavotangaza mkuu, kwahiyo sielewi kwanini?
 
ndomyana

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
4,886
2,000
Wadau mimi ngoja nimeamua kuwakatia kiu hawa psrs kesho nawaibukia lazima niwape majibu nitakayopewa nakama kesho hawatanipa majibu basi jumatatu ninao ili niweze kupata ukweli wa nafasi tulizoomba kwa taasisi zote na mawizara. Maana kuna mdau namjua pale kila nikimuuliza ananiambia vuta subira mchakato unaendelea sasa na mimi namwambia kesho ijumaa hadi jumatatu naacha kila kitu nashinda ofisini kwao mpaka kieleweke.
sawa mkuu katuwakilishe bwana mimi wamenikera hadi staki kuwasogelea walipo na ofisi zao
 
ndomyana

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
4,886
2,000
Yumkini ndio sababu hata UTUMISHI wanamnyima kazi! Teh teh teh! Kaka,hebu pitia CV yako na barua yako vizuri!!
Yawezekana hata mpango wa CV yako pia
kumbuka hayo maneno mnayo ongea na dharau zenu kuna watu wanawazunguka leo kwangu kesho kwa hao ndugu zenu
 
Nokla

JF-Expert Member
Aug 12, 2012
2,892
2,000
kumbuka hayo maneno mnayo ongea na dharau zenu kuna watu wanawazunguka leo kwangu kesho kwa hao ndugu zenu
Mkuu mbona mi naona kama amekushauri tu? Unajua vitu vidogo vidogo vinadharaulika mwisho wa siku unajikuta huitwi!
 
ndomyana

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
4,886
2,000
Mkuu mbona mi naona kama amekushauri tu? Unajua vitu vidogo vidogo vinadharaulika mwisho wa siku unajikuta huitwi!
hapana kaka hawa jamaa wenye viofisi iku izi wanazaeau sana graaduet wanaona kama wamemaliza kila siku tunavozunguka na CV zetu maofisini mwao, kumbe siku1 wadogo zao watatukuta ofisini
 
mathematics

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
3,321
2,000
niliacha kitambo ku-apply kazi zozote zile!

karibu kwenye ulimwengu wa kujiajiri, tumia akili yako ya kuzaliwa plus ya darasani,
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom