Recent content by Akademician

  1. Akademician

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kusoma "Masters"

    Jaribu kunitumia mimi ujumbe.
  2. Akademician

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kusoma "Masters"

    Nimekutumia ujumbe PM, Ucheki mkuu.
  3. Akademician

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kusoma "Masters"

    Mleta mada chukua ushauri huu, Utakuja kumshukuru huyu ndugu miaka michache ijayo.
  4. Akademician

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji majina ya watoto wa Kike na Kiume ya Kiafrika, yasiwe ya Kizungu, Kiarabu wala Kiswahili

    Luaga, Mpina, Tundu, Lisu, Mwigulu, Nchemba, Lengai, Ole, Sendeka, Wasira, Rweyemamu, Kitila, Mkumbo, Ndalichako.
  5. Akademician

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji majina ya watoto wa Kike na Kiume ya Kiafrika, yasiwe ya Kizungu, Kiarabu wala Kiswahili

    Nyonyoma, Nchichiwona, Limbanga & Apondogolo.
  6. Akademician

    JamiiForums Tanzania Naomba utaratibu wa kupata cheti kingine cha NIT, nilichokuwa nacho kimepotea

    Nadhani ungeenda kuonana na uongozi wa NIT.
  7. Akademician

    JamiiForums Tanzania Miaka 8 bila kazi, tangu nimalize chuo kikuu

    Mleta uzi anaingizwa kwenye 18 soon hapa.
  8. Akademician

    JamiiForums Tanzania Miaka 8 bila kazi, tangu nimalize chuo kikuu

    Bwiru Boys umeitaja, Ila umekisahau chuo ulichosomea IT mkuu, Tutajie, classmates wako watakushika mkono hapahapa.
  9. Akademician

    JamiiForums Tanzania Miaka 8 bila kazi, tangu nimalize chuo kikuu

    Naomba kujua maana ya OP kwa humu JF mkuu.
  10. Akademician

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kamwe hawatoi. Hata wewe mwenyewe ni lazima uwe na kitambulisho chako au cheti cha Form IV ndipo upewe.
  11. Akademician

    JamiiForums Tanzania Kampasi ya Adem Mbeya imeanza kutoa mafunzo ya Diploma ya uongozi wa elimu

    TANGAZO TANGAZO KWA WALIMU WANAOHITAJI KUJIENDELEZA. KAMPASI YA ADEM MBEYA IMEANZA KUTOA MAFUNZO YA 1. DIPLOMA YA UONGOZI WA ELIMU (DEMA/DELMA) 2. DIPLOMA YA UTHIBITI UBORA WA SHULE (DSQA) KWA NJIA YA KUSOMA WAKATI WA LIKIZO (BLENDED) KUANZIA OKTOBA 2023. FOMU ZINAPATIKA KWENYE Website yetu ya...
  12. Akademician

    JamiiForums Tanzania Betri mpya ya Tecno Boom J5

    Ile ya Mlimani City au ya Kariakoo?
  13. Akademician

    JamiiForums Tanzania Hii betri mpya inapatikana madukani?

    Simu ni TECNO BOOM J5, ina mwaka mmoja tangu inunuliwe na Inaoperate vizuri tu. Ila kwa sasa betri yake imeshaanza kuchoka. Naomba kujuzwa kama betri mpya za Hii simu zinapatikana. NB: Nimeangalia kupitia utaratibu wa TCRA, Hii haimo miongoni mwa zitakazozimwa mwezi Juni. Nisaidieni...
  14. Akademician

    JamiiForums Tanzania Upatikanaji wa spea (betri) ya Tecno Boom J5

    Simu ina mwaka mmoja tangu inunuliwe na Inaoperate vizuri tu. Ila kwa sasa betri yake imeshaanza kuchoka. Naomba kujuzwa kama betri mpya za Hii simu zinapatikana. NB: Nimeangalia kupitia utaratibu wa TCRA, Hii haimo miongoni mwa zitakazozimwa mwezi Juni. Nisaidieni upatikanaji wa betri.
  15. Akademician

Back
Top Bottom