Upatikanaji wa spea (betri) ya Tecno Boom J5

Akademician

Senior Member
May 20, 2015
143
36
Simu ina mwaka mmoja tangu inunuliwe na
Inaoperate vizuri tu.
Ila kwa sasa betri yake imeshaanza kuchoka.

Naomba kujuzwa kama betri mpya za Hii simu zinapatikana.

NB: Nimeangalia kupitia utaratibu wa TCRA,
Hii haimo miongoni mwa zitakazozimwa mwezi Juni.

Nisaidieni upatikanaji wa betri.
 
Back
Top Bottom