Ukifanikiwa kutoka kigoma hata kama ni mzaliwa hukumbuki kurudi maana tunapajua wenyewe
Kwa udhibitisho angalia wabunge wa kigoma hawarudi hadi uchaguzi mwingine
Ulisemalo ni kweli maana hata katika sekta nyingine yote ni yaleyale
Watumishi wanalia na wananchi wanalia pia
Hakuna mkombozi
Ni kama awamu ya 4 kila mtu alikua analia viongozi na wananchi hakuna aliyekua na solution ya matatizo yetu
Ndalichako alikuja juzi juzi lakini pamoja na kumuuliza...
Wakuu nawasalimu kwa heshima zote
Naomba mwenye uelewa wa application ninayoweza kuweka katika simu yangu iniwezeshe wakati nimepigiwa simu inaita niwe na uwezo wa kuendelea na nilichokuwa nafanya kabla sijapokea
Natanguliza shukrani ndugu zangu
Nikiwa kama mzaliwa na mkazi wa Kigoma nimekulia katika maneno yaliyopata umaarufu kila kukicha kwamba Nyerere alitunyima elimu ili tusimpindue
Katika pitapita zangu nikitafuta elimu niliibuka na haya yafuatayo,
Sio kweli Nyerere alitunyima elimu sisi Waha
Sisi Waha hatupendi elimu iliyopo...
Kujivunia umaskini ni udhaifu
Huyu mungu mtu naona maombi yake kila siku ni kutugeuza sisi majuha
Anajivunia na umaskini wetu wakati sisi tumapigana tuondoke huko
Nimesikua anamshauri Nkurunziza wa Zanziba awe mkali,ama kweli tumepwaya watanzania awamu hii
Kujivunia umaskini ni udhaifu
Huyu mungu mtu naona maombi yake kila siku ni kutugeuza sisi majuha
Anajivunia na umaskini wetu wakati sisi tumapigana tuondoke huko
Nimesikua anamshauri Nkurunziza wa Zanziba awe mkali,ama kweli tumepwaya watanzania awamu hii
Waziri Ummy Mwalimu kama unavyofahamu sekta ya afya nayo iliingia katika mpango wa BRN ili kuboresha huduma za afya nchini
Mh. Waziri,halmashauri hii ya Kigoma iliingizwa Nov 2015 katika mpango huu na Aug 2016 tukaletewa fungu la 10mil kwa kila kituo cha afya kilichokuwa na mapungufu ili tuweze...
Me sijataka ufafanuzi kwa raia,nimepeleka toba yangu kwa mheshimiwa basi,hayo ya Kairuki sijui Simbachawene sijui nani ni najua ni mihemko inawasumbua
Ndio maana ombi langu halijapitia kwa waziri yoyote sababu hakuna hata mmoja ninayemwamini baraza lote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.