Naomba radhi kwa Rais Magufuli

Naomba radhi kwa Rais Magufuli

Naweza kusema ww ni mnafiki bila kumumunya maneno,nitaeleza:
Hauwezi kuomba msamaha wakati unaendelea na "dhambi" ileile! Hauwezi kutoa sifa ya wema kwa mbaya wako. Hauwezi kumkweza adui yako kwa mapambio wakati alishakutenda.
Kwenye msiba wa mbaya wako unalia hadi unagaragara,kumbe furaha tele moyoni mwako!
Mtu kama wewe katika maisha yako hauwezi kusimama kama wewe ukaelezea"facts" zako hadharani watu wakakuelewa mpaka upate msaada wa mtu mwingine, tena awe msanii mzuri!
Atakayeweza kuelezea akafahamika katika hadhira kuwa mchana maana yake ni usiku,jambo baya kulielezea kama jambo jema,nk nk.
"Kusyenteka" ni unafiki na ni utoto.
Simamia dhamira yako na watu watakuelewa.
Mkuu me sio mnafiki labda hujaelewa mtiririko wangu maana mimi sio mwandishi wa habari
 
Mkuu me sio mnafiki labda hujaelewa mtiririko wangu maana mimi sio mwandishi wa habari
Simama na upande mmoja. Yaani kama ni kufeli kwa serikali kutimiza ahadi yake ya ajira kwa vijana,full stop.
Lakini ni juzi tu Waziri Kairuki alisimama nyuma ya loudspeaker kueleza kuwa ajira za vijana kitu kama sikosei 70,000 kuanza baada ya zoezi la wafanyakazihewa kukamilika ama kufungwa rasmi Tr 26/8/16. Hivyo ajira kwa sasa zipo wazi. Na akasema kuwa wote waliohusika ktk kadhia hiyo wapo katika hatua mbalimbali za kufikishwa kwenye vyombo vya sheria,kupitia polisi na Takukuru.
 
HAPO KWENYE RED UMECHEMSHA.....

Watanzania muambiwe mara ngapi au hadi lini ndio Mtaelewa? Jina la Raisi linatakiwa litajwe lote au ndio unataka kutuambia umepata GPA chini ya 3.5 so hauko bright? ndio usamehewe tu eenh!
Ninakupuuza
 
Simama na upande mmoja. Yaani kama ni kufeli kwa serikali kutimiza ahadi yake ya ajira kwa vijana,full stop.
Lakini ni juzi tu Waziri Kairuki alisimama nyuma ya loudspeaker kueleza kuwa ajira za vijana kitu kama sikosei 70,000 kuanza baada ya zoezi la wafanyakazihewa kukamilika ama kufungwa rasmi Tr 26/8/16. Hivyo ajira kwa sasa zipo wazi. Na akasema kuwa wote waliohusika ktk kadhia hiyo wapo katika hatua mbalimbali za kufikishwa kwenye vyombo vya sheria,kupitia polisi na Takukuru.
Me sijataka ufafanuzi kwa raia,nimepeleka toba yangu kwa mheshimiwa basi,hayo ya Kairuki sijui Simbachawene sijui nani ni najua ni mihemko inawasumbua
Ndio maana ombi langu halijapitia kwa waziri yoyote sababu hakuna hata mmoja ninayemwamini baraza lote
 
Daaa mm nilisubilia Ajira nikasahau sasa nipo kitobe nauza choroko nimejiajiri
 
Back
Top Bottom