Naelewa situation unayopitia mkuu Pole sana unajua watu hawaelewi kuna soulmate akikukaa amekukaa hatoki moyoni hata udate na wengine wangapi bado hawawezi replace hiyo nafasi yake though unakuta ni mtu wa kawaida sana mapenzi huwa hayaoni
Kabisa mkuu. Ally Happy ni mtu wa mihemko sana nimewahi kumkuta na wapambe wake mkoa flani kwenye starehe cha kushangaza hakutaka asiyekuwa mpambe wake asogee eneo walilokuwa wamekaa tulimtuliza na wapambe wake akawa mpole kama maji mtungini na angejua alitulizwa na vijana wa 95...
Kama mfuko ukiwa njema sioni sababu ya kununua gari za showroom au mkononi mwa mtu wanazifanyia michezo mingi ni kheri mara elfu nijikamue nichukue iliyotumika nje
Mawaziri vivuli wanakazi gani wana maana gani wana faida gani?
Wabunge viti maalumu wana kazi gani wana faida gani Mbona me sielewi?
We nenda wape salamu zao
Waambie sina tatizo nao.By FREENATION
Ni kweli mkuu PSSSF ni ugonjwa unaoua wastaafu. Nimewahi fwatilia mafao ya mtu wangu wa karibu alifariki 2017 nilihangaika from.hiyo 2017- 2020 ndio walinipa stahiki za marehemu tena kwa mbinde haswa. Nilitokea kuwachukia sana jamaa wanakaa ofisini hamna kitu cha maana wanachofanya.Pathetic
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.