Mfahamu Naftali Bennett, Waziri Mkuu mtarajiwa wa Israel

huyu jamaa ant-palestines kwelikweli,Ila mashaka yangu , kwa mitazamo aliyonayo juu ya Palestine ,huyu atakuja kuzua janga litakalo wagharimu wote.
Bunge la Israel Kesho litapiga kura kuona kama jamaa na vyama walivyoungana waruhusiwe kuunda Serikali au la
 
1. A former special forces commando,

2. mult-millionaire former tech entrepreneur.

3. A former minister for economic na pia education.

4. Now on waiting to be a prime minister

Netanyahu naye ni vilevile, from commando to a succeful person and leader.

Huku kwetu ukishafikia level ya Konando wewe tayari unafikirika kuwa siyo binaadam wa kawaida kiakili, labda kichaa.

Wenzetu wana train best minds kuingia kwenye hizo taasisi, sisi tuna pick walio lose hopes. After service, they can't be recircled
Hawa jamaa wapo vizuri kwenye kumuandaa mtu kuwa kiongozi wa nchi
 
Nafikir unahitaji muda kidogo wa kujifunza siasa zao kabla ya kunena.
Kuna kitu huwa sielewi kwa wafuasi wa mrengo wa kushoto... Israel akituliza ghasia Wanahamaki sana and wanawafumba macho kwa waletafujo na ghasia... Hamas akianza ujinga kurusha maroketi huwa hawaoni wala kuionya Hamas ila Israel akianza kutoa kichapo huja juu oh Wapalestina wanaonewa oh Israel inatumia nguvi nyingi maandamano dunia nzima kwa wajinga niite hivyo kwasababu vita zingine no maandamano only for Israel ndio maana tunasema ni ubaguzi tu wa majinga...

Uturiki inaua vibaya wakudri no one care katika Isramic world, Saudia anatoa kichapo kwa Yemen no one care katika Islamic world pumbavu...

Wacha Israel alinde nchi yake kwa magaidi ya Hamas..

Hakuna machungu yaliyowahi shuhudia Israel kuiachia Gaza kwa Utawala wa Arabs and then Hamas akafanya mapinduzi.. Waisrael wakazi walilia sana hadi wanajeshi katika kuwahamisha huko ukanda wa Gaza na lengo kuu ilikuwa ni Amani mwishowe imegeuka laana kuchokozwa kila siku.. i hope one day laana itaisha na Gaza yote itakaliwa tena na Waisrael mkiendelea nabuchokozi usioisha trust me...

Nchi yeyote inajilinda dhidi ya magaidi utake usitake... Boko haram Nigeria, porisalio Morocco, Ireland huko wapo, india wapo, afghanstan wapo, Uturuki wapo, Saudia wapo, Colombia wapo yemen wapo, Tanzania tuliwakimbiza wakaenda Msumbiji na nchi nyingi so hizo nchi zenyewe zikipambana na ugaidi ni sawa ila sio Israel ni mwendo wa maandamano na laana. Kwa unafiki huu Laana inawarejea watoaji pumbavu kabisa...

Iran instead kuwa kundi la kigaidi imekuwa nchi ya Magaidi kuitishia Israel hamna namna ya Israel kujilinda na kutokana na umbali wao kwa km kila mmoja anatumia njia anazoweza iran yeye makundi ya kigaidi anayoyasapoti ni mengi ikiwemo hamas na hezbollah so Israel anaishi kwa kuyadhoofisha kila uchao and njia nyingine ambayo ipo wazi ni kulipua vinu vya nukria vya iran so ugumu anapata kutoka kwa Usa tu... ila kazi ilishaisha zamani kwa netanyahu... Ulishazuia kombora la nukria ni hatua kubwa sana maana makombora mengine yanazuilika tu na hayana mass distructions.

Kwangu mimi kura yangu nampa Israel kumchapa Iran endapo atazidisha chuki na vitisho dhidi ya Israel... amen
 
Kuhusu Iran nafikir pia udurusu upya af uje kunena ila kwa sasa kama utafuta comment yako nafikir heshima yako utakua umeilinda

Kama ana ubavu akawatwange Hizboullah kule Lebanon kwanza kabla ya kwenda Iran
nimefurahi sana kwanaftali Bennet kuwa waziri mkuu mpya mtalajiwa wa Israel. Sera zake kuhusu Iran ni nzuri sana kama vile za Ariel Sharon kwa watupa mawe.Tatizo linakuja kwa nchi za tajiri za ulaya kuibana sana israel isi mtwange vibaya Iran kuogopa kupanda kwa bei ya wese.
 
ngoja tusubiri maamuz yatakuwaje!baada ya maamuz tutapata picha ,nn kinatarajiwa.
Waarabu matumbo joto ukisikia "Mrengo wa Kulia" ujue ni balaa

right wing

NOUN
(the right wing)
  1. the section of a political party or system that advocates for free enterprise and private ownership, and typically favors socially traditional ideas; the conservative group or section.
    "a candidate from the right wing of the party"
  2. the right side of a team on the field in soccer, rugby, and field hockey.
    "he reverted to his normal position on the right wing"
ADJECTIVE
  1. advocating for or taking measures to promote free enterprise and private ownership, and typically favoring socially traditional ideas; conservative.
 
Hilo jamaa niliona mahojiano yake na bbc kipindi kile cha mashambuliano hivi karibuni, jamaa matamshi yake yalikuwa mabaya na yakikatili mno .Ngoja tuone kichaa akipewa rungu
 
Huyu ni chizi yaani hafichi hisia zake hasi juu ya Waarabu
 
Nimeshakwambia Iran sio waarabu wale, labda mkawapige vimeo wenu wa Yemen huko na wapuuzi wengine wa huko Arabuni
Mnavyong'ang'aniaga "IRANI sio Mwarabu" mnakuwa kama mazuzu, Irani wanaongea lugha gani?? ni jamii(Race) gani??
 
Unajua kuna mda mnashangaza sana, yaani katika nchi kumi zenye Jeshi imara Israel hayupo, Ata Nchi kumi zenye GDP kubwa Israel hayupo, hizi sifa mnazo wapa ni vichekesho sana
Unadhani GDP na Uimara unaouzungumzia ungekuwa unafanya kazi Si Mngemshinda kwenye ile vita ya SIKU6??

Aliwaburuza Waarabu wote mkaufyata
 
Back
Top Bottom