Mkuu katika hivyo vita vya 6 days war Israeli iliishambulia Misri, Yordan na Syria na kuzishinda ndani ya siku sita. Mwazo vilikuwa ni vita kati ya Misri na Israeli baada ya mmisri kutwangwa na bila Yordan kujua kwamba Mmisri ametwangwa wakaingia kumsaidia Misri nao wakatwangwa. Siria nae...
Hata mimi nashangaa mimi najua mtu huwezi kuanza kazi kabla ya kusaini mkataba je yeye alisaini mkataba usiokuwa na mshahara? Na kama hakuwa na mkataba kwa nini afanye kazi bila mkataba? Halafu miaka mitatu hupokei mshahara unakula nini?au alikuwa anaishi kwa njia gani? Mimi naona Magu yuko sawa.
Wakuu poleni kwa majukumu.
Naomba ushauri wenu wa kisheria juu ya jambo hili.
Nulinunua nyumba iliyouzwa kwa mnada kupitia kwa dalali alieteuliwa na Benk fulani iliyoko jijini Dar es Salaam. Nyumba hiyo iliuzwa na benk kwa kuwa mwenye nayo alishindwa kulipa deni la benk. Baada ya mauzo ndani...
Mkuu ukiweza kupata kiwanja mbweni utafurahi maana ni maeneo mazuri. Ila kwa hiyo bei ngoja waje wenyewe wakuambie bei. Mara ya mwisho mwaka jana niliulizia bei ya mita za mraba 800 hapo mbweni JKT nikaambiwa milioni 45 ilbidi niende mbezi msakuzi.
Journalists knows how to link the dots and they can study your mind...siyo lazima watafuniwe kila kitu. Unafikiri hao walengwa wangetumia rasilimali tajwa kupigia UKAWA kampeni?
Wakuu natafuta nyumba ya kununua sinza au Kijitonyama. Iwe kwenye hali nzuri na kwenye kiwanja kilichopimwa. Budget yangu ni up to 80m kulingana na ubora wa nyumba.
Shukran
Mkuu na wewe kwa nini unafikiri Goba au makongo juu panafaa kuliko Ununio? kwa mfano makongo na Goba land scaping yake ni mbaya, maji ni shida, barabara za kuingia kwenye mitaa ni mbaya hasa wakati wa mvua.
Mkuu Tangazo lako halijitoshelezi ndiyo maana jamaa amekupa changamoto kwa kusema ofisi ziko Biharamulo nilifikiri sasa utakuja na tangazo linaloeleweka kumbe wapi. Olesaidim amekusaidia hapo juu namna ya kuboresha Tangazo lako.
Wakuu natafuta kiwanja cha jirani na barabara kwa ajili ya kujenga ka frem ka biashara:
Eneo: Kigamboni barabara ya kutoka ferry kupitia kibada paka kutokea Kongowe
Ukubwa: Kuanzia mita 400 za mraba. Ikiwa eneo limepimwa ni nzuri zaidi
Tahadhari: Eneo lisiwe ndani ya hifadhi ya barabara au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.