NYEREGENDA
Senior Member
- Nov 21, 2014
- 174
- 30
Hotuba iliyoandaliwa na wataalam wa siasa ambayo ilitayarishwa kwaajili ya mkutano mkuu imeibwa na imesambazwa kwa watangaza nia wengi wamekata tamaa baada ya kugundua kwenye ile hotuba mgombea katika hotuba hiyo anaonekana anatokea zanzibar pemba na mgombea mwenza ni mtu wa tanzania bara