Coaster mpya zinakodishwa

Coaster mpya zinakodishwa

MUSHEKY

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2014
Posts
2,812
Reaction score
2,767
Tunakodisha gari ndogo na coaster kwa shughuli mbali mbali za Dar es Salaam na kwenda mikoani gari zetu ni nzuri imara na zimefungwa TV zote madereva wazoefu na wenye weledi pia abiria wote watakaotumia magari yetu watanufaika na bima wakati wowote wawapo safarini. Karibu tukusafirishe maharusini misibani picnic safari za kiofisi n.k ..

PIGA 0718135370 SASA
 
Tunakodisha gari ndogo na coaster kwa shughuli mbali mbali za dar es salaam na kwenda mikoani gari zetu ni nzuri imara na zimefungwa tv zote madereva wazoefu na wenye weledi pia abiria wote watakaotumia magari yetu watanufaika na bima wakati wowote wawapo safarini.....karibu tukusafirishe maharusini misibani picnic safari za kiofisi n.k .. PIGA 0718135370 SASA

Ofisi zenu zinapatikana wapi?
 
ofisi zetu zinapatikana biharamulo mkuu,karibu sana
 
Kweli biashara ngumu. . . .
Gari inachukua abiria wangapi??!
Mnachaji kwa umbali au mnatumia utaratibu gani??!!
Kwa nini mtu aje kwenu asiende kwa wengine??!!
Hata picha tu mkuu??!!

Weka tangazo linalofanana na huduma unayoilenga
 
Ofisi zenu zinapatikana wapi?

Mkuu mm ndiye niliyepost kukodisha coaster ofisi zetu hazipo biharamulo kama mtu mmoja aliyeingilia mada alivyodai hapo juu ofisi zipo tabata segerea dar es salaam kwa maelezo zaid piga simu namva niliyoitoa kwenye post yangu
 
Mkuu mm ndiye niliyepost kukodisha coaster ofisi zetu hazipo biharamulo kama mtu mmoja aliyeingilia mada alivyodai hapo juu ofisi zipo tabata segerea dar es salaam kwa maelezo zaid piga simu namva niliyoitoa kwenye post yangu

Mkuu Tangazo lako halijitoshelezi ndiyo maana jamaa amekupa changamoto kwa kusema ofisi ziko Biharamulo nilifikiri sasa utakuja na tangazo linaloeleweka kumbe wapi. Olesaidim amekusaidia hapo juu namna ya kuboresha Tangazo lako.
 
Ok nimekusima mkuu maboresho yanaendelea
 
Back
Top Bottom