Recent content by ahoma

  1. A

    JamiiForums Tanzania Kero Makanisani: Mwambie mwenzako, mshike mkono mwenzako, mkumbatie mwenzako. Haya maneno chanzo cha michepuko mipya Kanisani

    Jamani kuna viungo vingine havijui kuokoka hapo ni kosa kubwa kkkt wafanye marekebisho. Pia kuwe na ibada watu wakubwa na watoto na wazee. Kuna wachungaji wanahubiri mambo ya zinaa umekaa na baba na mama mkwe ni aibu tupu. Wazee wengi wameacha kwenda kanisani Kwa ajili ya makelele ya wanakwaya...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnishauri kwa hili

    Yes kabisa elimu Haina mwisho. Mimi nilisoma sec na Mzee wa miaka 65. Kwa hiyo kwanza hongera Kwa kuwaza hivyo go and do it.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Jamaa ni mwongo sana na Kila anachomwambia mzazi ni uongo

    Habari za majukumu Wana JF. Nina jambo linanisumbua naombeni ushauri. Ninaye ndugu yangu mtu mzima na wajukuu anao. Kila kitu atakacho mwambia mzazi anasikilizwa sana, huyo jamaa ni mwongo sana na Kila anachomwambia mzazi ni uongo na kutuchonganisha wengine Kwa mzazi, sasa mzazi anampenda...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Njia za kupata VISA ya Portugal ni zipi?

    Ahaa
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kaburi la Profesa Aloyce Wenceslaus Mayo

    Kwa hiyo?? Nawe jenga la kwako km huna pesa kaa kimya.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kufanya kazi kwa wazungu huwa kuna maslahi mazuri pamoja na kujaliwa utu au ni stori tu za vijiweni?

    Usiibe tu, utakaa nao vizuri sana hata nyumba watakujengea ukiwa mwaminifu Kwa muda mrefu
  7. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta mganga wa kienyeji konki

    Hata Mimi ninayo namba ya mganga wa kienyeji yaani atafanya mambo yote. Je nikupe jina na namba zake?
  8. A

    JamiiForums Tanzania Tanga: Wanawake walalamika kunyonywa maziwa na wanaume, watoto hawashibi

    Huo ni ujinga wa wanawake hao Kwanza wanatia aibu wanawake wengine. Hao wanawake Wana yao ya kuwanyonyesha wanaume. Saa zingine hao wa Tanga waache huo ujinga. Kwani unapomyonyesha mwanaume ni unabakwa au ni hiari Yako.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu bei ya gunia la Dengu kwa wanaolima zao Hilo

    Asante sana
  10. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu bei ya gunia la Dengu kwa wanaolima zao Hilo

    Gunia moja la dengu ni bei gani kwa wakati huu
  11. A

    JamiiForums Tanzania Hivi trekta linalipa kwa kulima shamba lako au kukodisha?

    Trekta ni chombo kizuri sana kama wewe ni mkulima unaweza kulima mashamba Yako. Pia unawakodishia watu wengine. Ila nunua trekta mpya ndiyo utaona faida yake. Spea ziko nyingi tu, usiogope chapa kazi.
  12. A

    JamiiForums Tanzania TAHADHARI: Kuna matapeli! Fuata taratibu hizi...

    Ana kichwa kama boga pia
  13. A

    JamiiForums Tanzania Wazungu tunaogombania nao dalalada wamemkosea nini mwenyezi Mungu?

    Wao Wana Kila kitu, ila wanapenda sana utafiti Hadi utawaonea huruma. Tena hapo walipo wanalipwa vizuri sana. Wako kazini ujue
  14. A

    JamiiForums Tanzania Nataka nianze biashara ya kuuza Ugali na Kitimoto Rost

    Mmmm yam, yam. Nakuja kula Masawe
Back
Top Bottom