Hakika sasa Tanzania tumeanza kuwa na Matajiri, ukiona jamii inafanya vitu kama hivi kuwaenzi Marehemu wao basi ni jamii iliyoshiba.
Sisi tunamshukuru Mungu kwa yote tulioyapata toka kwa Mwalimu Mayo.
Prof. Mayo Amefariki Dunia Mkoani Dar es Salaam katika Hospital ya TMJ.
Profesa Wenceslaus Mayo alizaliwa 06 Desemba 1960, ni mzaliwa wa Mbulumbulu Karatu, Mayo alisoma Shule ya Sekondari Ilboru na Kuwa Mwanafunzi Bora kitaifa na kuendelea na masomo yake ya Kidato cha 5 na 6 Pale Kibaha Sekondari.
Baada ya Kumaliza Pale Kibaha alikwenda Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Faculty of Engineering kwa wakati huo (Kwa Sasa College of Engineering and technology) Kusoma Civil Engineering.
Baada ya Kupata Degree yake ya kwanza akapata na Degree ya Pili yaani Masters Degree Finland.
Kisha akapata nafasi ya kwenda Kusoma degree yake ya 3 Marekani ambapo hakupendelea sana Marekani, akaamua kwenda Kusoma Degree yake ya 3 Japan.
Alikuwa ni Professor wa Maji katika Chuo Kikuu cha Dar es salaam, CoET, Idara ya Maji.