Recent content by ahmedy sultan

  1. ahmedy sultan

    Second selection Kidato cha Tano 2015/2016

    Msaada wakuu s2334/018 Ahmed Mohamed
  2. ahmedy sultan

    Second selection Kidato cha Tano 2015/2016

    Maisha ya mitaani jamani tushachoka tupeni hizo post Tamisemi Au mnahis tunapenda kuishia mitaani tyu Nakukosa Elimu Me Mpk ndoto zangu zimeshaanza kufutika kabisa
  3. ahmedy sultan

    Second selection Kidato cha Tano 2015/2016

    Waungwana tuweni nasubira kila lenye kheri haliitaji haraka Tuweni naustahamilivu ..
  4. ahmedy sultan

    Second selection Kidato cha Tano 2015/2016

    Ouk let's wait for those selections
  5. ahmedy sultan

    Second selection Kidato cha Tano 2015/2016

    Unajuaje kama zinatoka j.tatu ndugu
  6. ahmedy sultan

    Second selection Kidato cha Tano 2015/2016

    Samahani Hivi Iyo Nacte inahusiana na Watahiniwa wa sayansi tyu ... Na Vipi Kuhusu wale wa biashara..??
  7. ahmedy sultan

    Second selection Kidato cha Tano 2015/2016

    Me leo nakesha mpk asubui mpk zitoke
  8. ahmedy sultan

    Second selection Kidato cha Tano 2015/2016

    Kams itakua hivyo serikali inajali
Back
Top Bottom