Recent content by ahmedjuma4

  1. ahmedjuma4

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa kiume wa shule za msingi za serikali kuvaa kaptula

    Habarini wadau Mimi nimejiuliza sana , kwann wavulana katika shule za serikali wavae kaptula? Mbona wasichana wanavaa sketi kuanzia chekechea mpk high school? Mimi upande wangu naona kama kuna udharirishaji kwa wavulana wanafunz kwenye upande huo, na endapo wakavaa suruali kuanzia darasa la...
  2. ahmedjuma4

    JamiiForums Tanzania Silaha kuu ya Wapalestina na waarabu dhidi ya Israel ni UONGO!!!!!!

    Ila Israel ilisema inawapluni hamas chap chap ...
  3. ahmedjuma4

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nimeacha rasmi kubet
  4. ahmedjuma4

    JamiiForums Tanzania Milango ya chuma Vs Milango ya Mbao

    [emoji16][emoji16]
  5. ahmedjuma4

    JamiiForums Tanzania Milango ya chuma Vs Milango ya Mbao

    Habari wadau. Naomba niende kweny maada moja kwa moja. Kitaalamu unaweza kushauri mjenzi atumie kipi kati ya mlango wa mbao au chuma Mfano wa mlango wa chuma huo hapo chini
  6. ahmedjuma4

    JamiiForums Tanzania Tuseme ukweli waarabu hawana akili, nakupa fact hizi hapa

    Hivi wasomali ni waarabu au waafrika?
  7. ahmedjuma4

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sawa ndugu, ila nilichojifunza na nachoendelea kujifunza kweny betting uwe na mtaji wa kutosha, punguza tamaa bet magoli over huwa inatoa sana kwa upande wangu.. Pia kingine kikubwa usichukulie betting kama kazi,
  8. ahmedjuma4

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Leo ka nusu milion tenaa ..
  9. ahmedjuma4

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ka milioniii hakooo !! Mdogo mdogo tuu
  10. ahmedjuma4

    JamiiForums Tanzania Ufahamu mradi mkubwa wa umeme wa Rufiji

    RIP Hayati Dr John Joseph Pombe Magufuli...
  11. ahmedjuma4

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namna mshikaji wangu anavyoishi ukweni kwa furaha na amani tele

    ...bando limemuishia anasema ngoja nikufuatie VOCHA DUKANI... Hehehe family ya kishuaa hii ety?
  12. ahmedjuma4

    JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa Tsh. 200 Milioni, ninataka kuwekeza katika biashara ya mbao kule Mafinga

    Eewaaalaaaaaa huyu ndio ndege John haswaaa,,[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
  13. ahmedjuma4

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu makadirio ya bati na mbao kuezeka nyumba hii

    Jamaa uko vzr, naomba mawasiliano yako unikadilie ramani flan hapa, kuna hela ya supu mkuu
  14. ahmedjuma4

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini akuache, fanya hivi utakuja kunishukuru

    Hahaha,, Sophie achaa ujuee, natak nikupige weyee
  15. ahmedjuma4

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini akuache, fanya hivi utakuja kunishukuru

    Sanaaaa
Back
Top Bottom