Naomba kufahamu makadirio ya bati na mbao kuezeka nyumba hii

MBUZI MWENYE BUSARA

Senior Member
Nov 24, 2019
143
151
Habari wataalam wa ujenzi?

Naomba kufahamu makadirio ya bati na mbao ambazo nitatumia kuezeka nyumba hii ya vyumba vyumba vitatu vya kulala, sebule, dining, stoo na choo cha public. Vipimo ni 11m x 9m. Kwasasa nimeshafunga linta.
 
BATI (92pcs)
No of Sheet = (11×9)÷(0.6×2.7)×1.5 = 92 sheets

Twende kwenye uhalisia kuproove
Tuassume nyumba yako haina kona kona hivyo tunapaua kwa mgongo wa tembo

Kama utatumia angle ya 45, king post itakuwa ni nusu ya urefu wa tie beam.
Kingpost = 0.5×9= 4.5m
Rafter = sqrt(4.5²+4.5²)= 6.3m+ Overhang (0.3m)= 6.6m

Idadi ya bati per roofing line = (11m+Overhang (0.4×2))/0.6 = 19.6 (approx 20)

Katika 6.6m zinaingia bati 2 na kubaki uwazi wa 1m
Jumla ya bati nzima = 2x20x2 = bati 80 (pande zote mbili)
Bati moja vinaingia vipande vya 1m vitatu, na jumla vinahitajika vipande 40 (20 upande mmoja, 20 upande mwingine)
Jumla ya bati za kuziba vipande = 40/3 = 13.3

JUMLA = 80+13 = Bati 93

MBAO 2×4 (125pcs), MBAO 2x2 (40pcs)
Idadi ya kench = (11m/1.2m)+1 = 10
Kench moja huwa inatumia mbao mara 5 ya urefu wa tie beam
So idadi ya mbao (2×4) = (10x5x9)/3.6 = 125

Mbao za 2x2 = (11m+0.4mx2)×6×2/3.6= 39.3 (Approx 40)

MISUMARI YA BATI 15PKT
No of pkt = (92 /6)= 15

Summary
Bati 92pcs to 94pcs
Mbao 2x4 125pcs
Mbao 2x2 40pcs
Misumari ya bati 15 pakt
 
Mbao za 2x2 = (11m+0.4mx2)×6×2= 39.3 (Approx 40)

MISUMARI YA BATI 15PKT
No of pkt = (92 /6)= 15

Summary
Bati 92pcs to 94pcs
Mbao 2x4 125pcs
Mbao 2x2 40pcs
Misumari ya bati 15 pakt
Dah mkuu umetisha sana!! Asante sana!
 
Mzee iyo idadi ya kench 10. Nyumba si itaonekana kama godown au darasa?
 
Mkuu nina kautaalamu kidogo cha kuezeka ila kwa calculation yako hii umeenda mbali mno!

Ila nimekukubali sana , i wish ungenipiga msasa kidogo.
 
BATI (92pcs)
No of Sheet = (11×9)÷(0.6×2.7)×1.5 = 92 sheets

Twende kwenye uhalisia kuproove
Tuassume nyumba yako haina kona kona hivyo tunapaua kwa mgongo wa tembo

Kama utatumia angle ya 45, king post itakuwa ni nusu ya urefu wa tie beam.
Kingpost = 0.5×9= 4.5m
Rafter = sqrt(4.5²+4.5²)= 6.3m+ Overhang (0.3m)= 6.6m

Idadi ya bati per roofing line = (11m+Overhang (0.4×2))/0.6 = 19.6 (approx 20)

Katika 6.6m zinaingia bati 2 na kubaki uwazi wa 1m
Jumla ya bati nzima = 2x20x2 = bati 80 (pande zote mbili)
Bati moja vinaingia vipande vya 1m vitatu, na jumla vinahitajika vipande 40 (20 upande mmoja, 20 upande mwingine)
Jumla ya bati za kuziba vipande = 40/3 = 13.3

JUMLA = 80+13 = Bati 93

MBAO 2×4 (125pcs), MBAO 2x2 (40pcs)
Idadi ya kench = (11m/1.2m)+1 = 10
Kench moja huwa inatumia mbao mara 5 ya urefu wa tie beam
So idadi ya mbao (2×4) = (10x5x9)/3.6 = 125

Mbao za 2x2 = (11m+0.4mx2)×6×2= 39.3 (Approx 40)

MISUMARI YA BATI 15PKT
No of pkt = (92 /6)= 15

Summary
Bati 92pcs to 94pcs
Mbao 2x4 125pcs
Mbao 2x2 40pcs
Misumari ya bati 15 pakt
Mwanangu ww ni fundi. Haswaaa yaani haya makadirio ya mahesabi yako sahihi sana haitaweza kuzidi au kupungua kwa kiasi kikubwa mimi pia nina uzoefu wa kuezeka maana nmeezeka nyumba kama ya ukubwa kama huo huo na nimetumia bati za msauzi futi 10 pc72 na mba0 za 2×4 =120 na za 2×2 pc 60 maana mi nyumba ilikuwa na makona kona kwaiyo sikuezeka kwa mgongo wa tembo bali mapaa mengi
 
Actually Nimetumia angle ya 45 ili mahesabu yaeleweke kirahisi, lakini site sio mara zote kingpost tunagawanya kwa 2 kupata angle ya 45...wengine huwa wanagawanya kwa 2.5 kwa hivyo angle inapungua na kufanya idadi ya bati pia ipungue. Nashukuru kwa appreciations ndg, tuko pamoja
 
BATI (92pcs)
No of Sheet = (11×9)÷(0.6×2.7)×1.5 = 92 sheets

Twende kwenye uhalisia kuproove
Tuassume nyumba yako haina kona kona hivyo tunapaua kwa mgongo wa tembo

Kama utatumia angle ya 45, king post itakuwa ni nusu ya urefu wa tie beam.
Kingpost = 0.5×9= 4.5m
Rafter = sqrt(4.5²+4.5²)= 6.3m+ Overhang (0.3m)= 6.6m

Idadi ya bati per roofing line = (11m+Overhang (0.4×2))/0.6 = 19.6 (approx 20)

Katika 6.6m zinaingia bati 2 na kubaki uwazi wa 1m
Jumla ya bati nzima = 2x20x2 = bati 80 (pande zote mbili)
Bati moja vinaingia vipande vya 1m vitatu, na jumla vinahitajika vipande 40 (20 upande mmoja, 20 upande mwingine)
Jumla ya bati za kuziba vipande = 40/3 = 13.3

JUMLA = 80+13 = Bati 93

MBAO 2×4 (125pcs), MBAO 2x2 (40pcs)
Idadi ya kench = (11m/1.2m)+1 = 10
Kench moja huwa inatumia mbao mara 5 ya urefu wa tie beam
So idadi ya mbao (2×4) = (10x5x9)/3.6 = 125

Mbao za 2x2 = (11m+0.4mx2)×6×2= 39.3 (Approx 40)

MISUMARI YA BATI 15PKT
No of pkt = (92 /6)= 15

Summary
Bati 92pcs to 94pcs
Mbao 2x4 125pcs
Mbao 2x2 40pcs
Misumari ya bati 15 pakt
Asante sana kwa effort yako uliyoionesha hapa.
 
Jamaa uko vzr, naomba mawasiliano yako unikadilie ramani flan hapa, kuna hela ya supu mkuu
 
Back
Top Bottom