Recent content by ahmedjad

  1. A

    JamiiForums Tanzania Tatzo kwenye uhakiki wa vyet rita

    Itakuwa muda umeisha kwa sababu imekuwa muda mrefu toka uhakiki uanze
  2. A

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji (W) Maswa - Simiyu idara ya Utumishi kuna Rushwa?

    Fikra za zamani kabisa eti walimu huwa wamefeli form four.Nina rafiki yang alipata division 2 form four na division 1 form six na akaenda kusoma ualimu .Tuache dharau kwa walimu wetu
  3. A

    JamiiForums Tanzania Serikali iwalipe house allowance walimu wanaoishi nyumba za kupanga kama ilivyo kada nyingine kama jeshi.

    Kwani za kulipa allowance za wanajeshi zinatoka wap?
  4. A

    JamiiForums Tanzania Unazitukana hospitali za Magufuli halafu ukiumwa unakimbilia hapo hapo?

    Kwani hospitali ni msaada?huo ni wajibu wa serikali
  5. A

    JamiiForums Tanzania Serikali futeni elimu ya kidato cha tano na sita, haina faida

    Unamainisha climatology ya advance hain tofaut na weather and climate ya form one.hebu tuheshimiane bhn
  6. A

    JamiiForums Tanzania Wale tuliowahi kupata Division 1 A-Level na O-Level tukutane hapa!

    Kupata division one mateso sana.kuna dogo tulimuachaga form five pale Buluba high school walikuwa wanamuita side mamisuri.Dogo anasoma sio poa mpaka unamhurumia lakini pepa zikija anapiga kijiti tu Sent using Jamii Forums mobile app
  7. A

    JamiiForums Tanzania Binafsi namuelewa Spika Job Ndugai

    Akili yangu inagoma kabisa kuamini kuwa Ndugai yupo sahihi. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. A

    JamiiForums Tanzania Wapi Taifa linaelekea?Huyu ni Mwanafunzi kidato cha Tatu.

    Haya yote ni matokeo ya kuwatelekeza walimu.Wanafanya bora liende.ubaya ubaya tu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. A

    JamiiForums Tanzania Dudubaya aomba radhi rasmi kutokana na maneno ya kejeli aliyompa Marehemu Ruge

    Bangi zimeisha Sent using Jamii Forums mobile app
  10. A

    JamiiForums Tanzania msaada wa maswali ya comb HGK HGL

    History 1.(1)discuss the role of trade to the state formation in Africa, (2)discuss why Marxist historians argue that slave mode of production did not exist in Africa, (3)discuss factors for the rise of working class in Africa,(4)once a time Walter Rodney argue that"colonial education was the...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo mambo yanayopendwa sana na wazanzibari

    Wazanzibar wanampenda San Maalim seif Sent using Jamii Forums mobile app
  12. A

    JamiiForums Tanzania Mwanamke uwe na nguo za ndani nyeupe nyingi utaona mafanikio

    Bila picha Uzi haunogi kabisa yan Sent using Jamii Forums mobile app
  13. A

    JamiiForums Tanzania Wauza kahawa huwa wanalala na Kuamka saa ngapi?

    Mimi muuza kahawa huwa nalala sa tano asubuh mpk sa Tisa, baad ya hapo ni full kazi mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  14. A

    JamiiForums Tanzania Haji Manara sijakuelewa

    Tathmini?kumbe yy ni kocha Sent using Jamii Forums mobile app
  15. A

    JamiiForums Tanzania Bila kifo Dunia ingekuwa Uwanja wa mapambano

    Duh mada zinazohusu kifo zimekuwa nyingi Leo.kuna kitu naona Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom