Wale tuliowahi kupata Division 1 A-Level na O-Level tukutane hapa!

Maisha sio Vyeti mpaka sasa mnamaendeleo gani kama bado mpo kwa wazazi na bado hamjaanza kujitegemea hizo Div one na First Class ni Useless mnashindwa hata na wamachinga wa pale K/koo wanalaza kwa siku 20-60 kwa siku na wanauza underwear ww hayo ma A yako yanafaida gani ikiwa hela ya kula tu inakupiga chenga

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu una inferior complexity?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna chalii mmoja nilisoma nae Ilboru back in the days!

Hakajawahi pata B of any kind in his life,of course atleast walao mpaka tunamaliza nae Form Six!

Maafaka went to Yale!

Then maafaka finished up at Princeton!

I remember alikua hapendi American English from his gut,alikua anatuona wahuni kupita kiasi

Maafaka sasa hivi anaongea slayer's American gutter slang from his black ass like a maafaka!

Anamtumikia mzungu America huko,kawa Mwamerika hatari!

Nilikua naonaga kama nipo kwenye zoo ya wanyama nashangaa maajabu...

Hawa matako walikua wanaelewa ule usenge wa shule mpaka nikawa nadhani wanatumia dawa....

I really miss those funny days with those little niggas of mine!

Goddamn!
Ambao hawajaelewa alichoandika ,gonga like twendeee...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu kila mtu ana ndoto zake, yawezekana aliye pata one ndio ilikuwa ndoto yake katika maisha.hata akiishi kikawaida ila ana furaha katimiza ndoto yake.

ww ndoto yako ilikuwa kuwa na hela ukaitimiza una furaha japo kusikia mtu anajisifia one inakuuma kuona una hela ila huna division one.

kuna mtu ana maisha mazuri kunizidi ila huwa hana amani sijui kwa nini? maana nimemzidi kiwango cha elimu (kila siku analalamika kujiendeleza) wakati hela anayo maisha mazuri yapo kisa kumzidi elimu.

Nilicho gundua kuwa na hela,(maisha mazuri) bila elimu kiasi nayo inakosesha furaha.
Una division one halafu hauna kazinauma sana then bado unakaa kwenu sasa one inakusaidia nn mi wa four napga mish zangu now npo najenga ww hata kiwanja hauna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asikwambie mtu Division One ya O'Level ina raha yake wazee.Nimekumbuka niliipata hii kitu tena katika Wilaya nzima ndiyo ilikuwa One moja tena ya kwangu.Sasa kimbembe chake A'Level asikwambie Mtu babaake.Nikaambulia Division TWO ya mwishomwisho huko PCB.Cha kushangaza Chuoni kwa kozi niliyosoma nikarudi zangu kwenye FIRST CLASS.Shughuli tena imekuwa kimbembe Mtaani safari hii naona FAAFAAFAA zitaniandama kabisa.Yaani kuna Majamaa nilimaliza nao na D's zao 4 saivi wanatunga Sheria na Wanakopesha kwa riba Nafuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupata division one mateso sana.kuna dogo tulimuachaga form five pale Buluba high school walikuwa wanamuita side mamisuri.Dogo anasoma sio poa mpaka unamhurumia lakini pepa zikija anapiga kijiti tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha tu nilipiga one ya 11 form four,A level PCB one ya tisa. Kayumba school. Nilijitahidi kwa kweli.Nilikuwa book worm tena nilisoma Boarding. Nakumbuka nilikuwa nahesabu mikoa niliyopita mpaka kufika shule. Nilitoka familia maskini. Niliweka juhudi kwenye Elimu nikitambua Elimu pekee ndo mkombozi wangu. Leo nashukuru Mungu nimewajengea nyumba bora kabisa wazazi wangu. Mimi naishi maisha bora yaani siihofii kesho. Wanangu wanasoma shule bora kabisa. Msiiponde Elimu. Wengine bila Elimu tusingefika hapa tulipo.
Na chuo ukaenda kusomea Udaktari
 
Back
Top Bottom