Recent content by AHAS

  1. AHAS

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

    Daah mbona tunanyanyaswa kiasi hiki aisee Kwa iyo wanataka kuzima mtandao ili tukose pakusemea kwa kisingizio cha maudhui Wanachotaka ni kupisha uchaguzi tu
  2. AHAS

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo ya Mfanyabiashara Rostam Aziz aliyoyafanya na UTV

    But why kipindi sio live ?? huyu ni mafia hata sura tu inaonesha ni mafia
  3. AHAS

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni 'zimevamiwa'

    Wanataka kuifungia jamii forum
  4. AHAS

    JamiiForums Tanzania Elon Musk na matarajio ya kusaidia vipofu kuona kuanzia mwaka 2026

    Hio bei sio ya nchi hii Itakuwa sawa na ya kuweka figo mpya
  5. AHAS

    JamiiForums Tanzania Elon Musk na matarajio ya kusaidia vipofu kuona kuanzia mwaka 2026

    Hivi huyu bwana ana dili gani duniani huwa najiuliza maswali sana kuhusu huyu mwamba natamani sana kumfahamu
  6. AHAS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sipendi tabia ya Mwanamke kujifanya hajui kilimchomleta faraghani

    Wewe ni wa ajabu sana hata vikao vyetu wanaume inaonekana hujawahi kanyaga
  7. AHAS

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Diamond Platnumz: Fanyeni kazi, acheni lawama, kila awamu, kila uongozi mnalalamika

    Daah sikutarajia kama Mond ataongea hivi siku moja By the way huyu mwamba ana kila kitu Unategemea aikosoe serikali ili biashara zake ziwe matatani???
  8. AHAS

    JamiiForums Tanzania Huu ndio ugonjwa wa Kideri: NewCastle Disease

    Ziwahi uzichinje ule kabla hazijafa zikifika hatua hiyo haziwezi kupona
  9. AHAS

    JamiiForums Tanzania Nini faida kwa mtu kuzaa watoto?

    Kupata wa kutukumbusha kunywa dawa za presha na mgongo
  10. AHAS

    JamiiForums Tanzania Vyakula vya Ajabu kutoka kwa Jose Mla Vichwa

    Nilimuona anakula mapanya buku hakika anashangaza
  11. AHAS

    JamiiForums Tanzania Huko X(twitter) kinachovuma ni Trump kung'ata shuka

    Lugha ya malkia achana nayo
Back
Top Bottom