Hajavimba uso?Donald Trump has been photographed playing golf at his resort in Virginia, putting to rest the wave of bizarre death rumours that have been circulating online. The former president was seen in a white polo shirt, his signature red MAGA hat and black trousers as he teed off on the course, appearing relaxed and unbothered by the speculation surrounding him.
The sighting was confirmed by the White House press pool, which noted that Trump left in his motorcade early Saturday morning before heading to the links. The report, timestamped at 8:49 a.m. on 30 August, documented his arrival at the course, offering concrete evidence that the 79-year-old is alive and well.
View attachment 3459199
Likiwa na maana gani...unataka kusema wewe ni palmistry..??Ana shida ya afya yule,mkononi ana baka jeusi kama alilokua nalo malkia Eliza punde kabla ya kufa
We uliambiwa na nani kama ana ukimwi
Video ya kofia nyekundu ni ya June,video anayopanda gari chapu inazua maswali,uso umevimba,kapandishwa gari chapu kwa msaada wa ngazi, halafu hajaongea na Media walau kupunga mkono au kunja ngumi kama kawaida yakeYupo hai bwana,maisha marefu kwake
Hahaha ila we jamaaVideo ya kofia nyekundu ni ya June,video anayopanda gari chapu inazua maswali,uso umevimba,kapandishwa gari chapu kwa msaada wa ngazi, halafu hajaongea na Media walau kupunga mkono au kunja ngumi kama kawaida yake
Boss, so Trump amefariki au amevimba uso?Video ya kofia nyekundu ni ya June,video anayopanda gari chapu inazua maswali,uso umevimba,kapandishwa gari chapu kwa msaada wa ngazi, halafu hajaongea na Media walau kupunga mkono au kunja ngumi kama kawaida yake
Mala amepanda gari chapu chapu 😂Boss, so Trump amefariki au amevimba uso?
HahahaMala amepanda gari chapu chapu 😂
Walking deadBoss, so Trump amefariki au amevimba uso?
Lugha ya malkia achana nayoWalking dead
Hiyo ni kawaida ila kama hujawahi kutoka nje ya Tz huwezi amini si hivyo nenda hapo west Africa utavurugwaSlow slow chizi, mtungi wa gesi 20kg kwa buku mbili!!
Yaani sijataka hata kujisumbua kubishana na wewe, endelea kujifunza lugha ya malkia,najua shule za kata zita-improve laterLugha ya malkia achana nayo
Mbona hata buku inawezekana ipo tu pale Mtwara nyingi Mungu katupatia.Slow slow chizi, mtungi wa gesi 20kg kwa buku mbili!!