Recent content by aggregates

  1. A

    JamiiForums Tanzania Access Bank Mwanza Interview Accomodation Cost

    Kwa upande wangu sikujua kama process iko ivo sababu ni mara ya kwanza nilijua nimetuma maombi dar na interview itakuwa dar so lilipokuja suala la mwanza niliishiwa na poozi
  2. A

    JamiiForums Tanzania Access Bank Mwanza Interview Accomodation Cost

    Yani mi mwenyewe Mkuu nimeisamehe tu nikiangalia izo gharama naona ni juu ya uwezo wangu na kupata ni 50 kwa 50
  3. A

    JamiiForums Tanzania "uume siyo pesa"

    una akili sana Mkuu mwanaume kutafta mwanamke kutumia ata Mungu alinena
  4. A

    JamiiForums Tanzania Utamu kwa mwanaume upo wapi?

    hahahaha apa umemaliza kila kitu ivo vingine vya ziada wallet ndo kila kitu
  5. A

    JamiiForums Tanzania Msimamo wangu: Unataka nikusomeshe nizalie kwanza mtoto ndo nikupeleke shule full stop

    Taratibu basi na misimamo yako unatuwekea kwa public iv wengine hawajaamka kutoka ktk usingizi bado wanatusomesha na iv mtu yupo ktk process za kunisomesha masterz we unamshtua sasa mana ni member wa jf
  6. A

    JamiiForums Tanzania TAHADHARI: Wizi kwa unaempa lift

    kama anavyoibiwa dereva na abiria anaibiwa ivo ivo we unafikiri wote wenye magari wanaotoa lift ni wema wengine majambazi wanatega na lift zao
  7. A

    JamiiForums Tanzania Huku ni kuachana au bdo tunapendana

    eeeeh udada gani huo wa saa tisa za usiku uyo mkaka bado ana mapenzi kwa uyo mdada anazuga tu
  8. A

    JamiiForums Tanzania TAHADHARI: Wizi kwa unaempa lift

    sijakuelewa unashangaa huamini au nini
  9. A

    JamiiForums Tanzania TAHADHARI: Wizi kwa unaempa lift

    wala ata sio tu abiria wanaoiba ata hao wamiliki wa magari mnatuibia pia mi juzi tu nimepewa lifti pia nimeibiwa simu na laki moja na nusu yani sa iv mtu akitaka kunipa lifti nafanya km simuoni vile sitaki lifti zena tena
  10. A

    JamiiForums Tanzania Waallahh Sirudii tena

    yani mi mwenyewe nimeshangaa km undergraduate chuo kinafunguliwa trh 20 mwezi wa kumi
  11. A

    JamiiForums Tanzania wale wenzangu wa UDOM hebu tutete kidogo hapa!!!!!

    shangaa ww sasa ana kihere here nae uyu udom maji c tatizo muhimu uwe na vyombo tu vya kuhifadhia na mara nyingi watu huwa na majaba yani apo shida utaickia mbali karibu UDOM
  12. A

    JamiiForums Tanzania Dedication kwa woote waliopo kwenye mahusiano..

    Tunapita kimya kimya
  13. A

    JamiiForums Tanzania hata kazi ya laki jmn!

    co wote wacokuwa na shukrani mkuu wengine tukipata tunakumbuka waliotusaidia ata iwe kidogo vp unaweza nisaidia ata kazi ya kujitolea tu ili niwe ata na experience
  14. A

    JamiiForums Tanzania hata kazi ya laki jmn!

    samahani mkuu iyo neema recruitment ipo wapi na mm nikajaribu bahati yangu mana ni bora elf kumi kuliko kukaa nyumbani
  15. A

    JamiiForums Tanzania Hekma na busara

    poa poa asante kwa kunishtua
Back
Top Bottom