?????????????????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!wala ata sio tu abiria wanaoiba ata hao wamiliki wa magari mnatuibia pia mi juzi tu nimepewa lifti pia nimeibiwa simu na laki moja na nusu yani sa iv mtu akitaka kunipa lifti nafanya km simuoni vile sitaki lifti zena tena
sijakuelewa unashangaa huamini au nini?????????????????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
sijakuelewa unashangaa huamini au nini
kama anavyoibiwa dereva na abiria anaibiwa ivo ivo we unafikiri wote wenye magari wanaotoa lift ni wema wengine majambazi wanatega na lift zaoWewe abiria dreva anakuibiaje?
wala ata sio tu abiria wanaoiba ata hao wamiliki wa magari mnatuibia pia mi juzi tu nimepewa lifti pia nimeibiwa simu na laki moja na nusu yani sa iv mtu akitaka kunipa lifti nafanya km simuoni vile sitaki lifti zena tena
Aliona shughuli zikifanyika akawa anasubiri ushahidi ukamilike au????!!