Ahsante kwa informatin muku, nyegezi/buhongwa maeneo gani mkuu ili hata nikija niwe na direction nzuri hata kwa kuuliza kwa watu? na je hayo maeneo sio mbali na ilipo shule ya mwanza secondary? unapanda daladala ngapi mkuu kufika hapo mwanza secondary?
siyo mbali njomba nauli 400tshs ni km dk 20 au 30,we njo mi ntakupokea kiongozi