Recent content by Aggayah

  1. A

    JamiiForums Tanzania Baada ya M/s Kalinda kuliza maelfu ya watu, ni nani afuata?

    Kuanzia siku ya jana, inasemekana M/s Kalinda aliamua kuzima mitambo yake ya kuchimba madini kwa kisingizio kuwa wajanja wame hack mitambo yake. Mitambo yake ilianza kupoteza nguvu taratibu tangu juzi na hatimaye kusimamishwa rasmi jana huku ikiacha kilio kikubwa kwa maelfu ya wadau waliokuwa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kweli kuna deal haramu (kwa mujibu wa UN) la silaha kati ya Tanzania na North Korea?

    Wazungu. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mch Gwajima: Nimepata umeme megawati 250 kwa ajili ya Taifa

    Mkuu Econometrician, huyu member ameuliza maswali ya msingi sana; binafsi nami nimetatizwa. Wewe kama the great thinker, usikimbilie kuponda tu, jenga hoja yenye mashiko na sisi angalau tuelewe kuhusu umeme huu wa Gwajima. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. A

    JamiiForums Tanzania Karibu tushauriane juu ya nini cha kufanya na matokeo yako ya kidato cha 6

    Pole Sana! Post sent using JamiiForums mobile app
  5. A

    JamiiForums Tanzania Karibu tushauriane juu ya nini cha kufanya na matokeo yako ya kidato cha 6

    Jitahidi mkuu kueleweshwa. Ni rahisi sana. Vigezo ni: Two principal passes (at least two D's) zenye total pts zisizopungua 4.0 Hapa Ni kwa wale waliofanya mtihani wa ACSEE from 2016 to 2017. Zaidi ya hapo tafuta Guide Book ya kwako! Post sent using JamiiForums mobile app
  6. A

    JamiiForums Tanzania Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2017/18

    Please jaribu kusoma posts zilizotangulia maana swali kama hili limeshajibiwa. Post sent using JamiiForums mobile app
  7. A

    JamiiForums Tanzania Acha Azam, kulikuwa na mkate wa Siha

    Hapo sawa. Maana hata mimi nilitaka kushangaa, mkate wa siha na Azam, wapi na wapi.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Prove Me Wrong: Kwamba 85% ya wadada wanaopatikana humu JF ni Wabaya Wa Sura adi Maumbo

    Mleta uzi mwenyewe hajui hata kuandika, sasa unampa kazi kubwa tena ya kukusasanya takwimu. Hata takwimu yawezekana hajui ni kitu gani!
  9. A

    JamiiForums Tanzania Fomu za kujiunga(Joining instruction) kwa shule mbalimbali za sekondari nchini

    Mwenye Joining Instruction ya Kazima Secondary please naomba anitumie. WhatsApp #: 0682351251.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Fomu za kujiunga(Joining instruction) kwa shule mbalimbali za sekondari nchini

    Mkoa wa Tabora upo ktk list hii, lakini ni shule moja tu iliyokuwa attached!
  11. A

    JamiiForums Tanzania Uhusiano kati ya Uislamu na kufuga ndevu nyingi

    Aiseeh!
  12. A

    JamiiForums Tanzania Simba apanda Juu ya mti kuokoa Uhai wake, baada ya kichapo kikali kutoka kwa NYATI

    Nina imani wewe kama a great thinker, kuna kitu ulitaka kuongea Kwa kutumia lugha ya picha. Otherwise video za simba kushambuliwa na nyati tumeziangalia sana tu.
  13. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni ujinga kumtumia hela mwanamke wakati hujawahi kumgegeda

    Na hiyo 'honey pot' yako nayo pia ni Mali?
  14. A

    JamiiForums Tanzania Tujuzane hapa kuhusu muandamo wa mwezi kuanzia leo tar24.June.2017

    Duuuh! Wacha kuchezea dini ya haki.
  15. A

    JamiiForums Tanzania Majina ya Mikoa, Wilaya, sehemu ndani ya Tanzania pia na maana yake

    Ungeweka pia maana ya Ngare-nanyuki na Ngare-nairobi.
Back
Top Bottom